The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Nimemsomesha naona hata hataki kunielewa!Anataka vyote ngoja akose vyote!
Au tumpeleke kwa Mchungaji Masa
Nimemsomesha naona hata hataki kunielewa!Anataka vyote ngoja akose vyote!
heheh halaf wakuu kwenye hii sredi ya wadada naona mnamwaga mapweinti kweli kweli.
heheh halaf wakuu kwenye hii sredi ya wadada naona mnamwaga mapweinti kweli kweli.
michelle sasa sijui yeye ni DALADALA kwamba unapanda ukifika kituoni anapanda mwingine wewe unashuka
Ukitaka kuchagua watu wa kuchangia wa-PM hao unaotaka wachangieWewe ni Mdada mbona hamuelewi?????????????
daladala dogo na hukai muda mrefu the finest,yeye atakuwa sumry wanapanda wengi anashuka mmoja mmoja,mara mombo,mara hedaru,moshi mjini,arusha mijini na mwingine simanjiro.........
AAAAAAAAAAAfuuuuuuuuuuu unaweza ukakuta uliowapanga wote wamo humu JF na wanachangia utafikiri hawapangwi........... DahMama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
senk yu mai drim gelo
Hivi vitoto vinachosha jamani
Au tumpeleke kwa Mchungaji Masa
cant believe this is coming from you........good sense of humour though.....tehteeeeehee
Hapana Michelle............. Huyu atakuwa treni toka Dar hadi kule Kapilimposhi Zambia wanashuka na kupanda wengi wengi............. Mara Ngerengere, Mlimba, makambako, Mbeya, .....etc..........etcDaladala dogo na hukai muda mrefu The Finest,yeye atakuwa SUMRY wanapanda wengi anashuka mmoja mmoja,mara mombo,mara hedaru,moshi mjini,arusha mijini na mwingine Simanjiro.........
:amen: How i wish Hashy??? am waiting for you to make up your mind!
Sorry......... what was the thinking of this person about you prior to this post.......???I hope it did not change your mind about mi..............lol:smile-big:
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
cant believe this is coming from you........good sense of humour though.....tehteeeeehee
senk yu mai drim gelo
:amen: How i wish Hashy??? am waiting for you to make up your mind!
I hope it did not change your mind about mi..............lol:smile-big:
michelle and hashy what cooking in here can i join the conversation ooppss sorry 😛lane:😛lane:
We mchungaji is OFF LIMIT!Ushauri anatoa kupitia mimi!
speak now or forever hold your peace