Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Mkuu watafutie ni kitu cha kujaradia akili ili wafikirie vizur, maan mtaani kuna wadada vichwa maji kweli.
Mrembo akiwa na shepu nzuri akili za nini?
sijaelea kitu, itakua hayanihusu
asanteWakinadada wameelewa, we mkuu inabidi uvumilie tu.