Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Umeshapata bwana?
yale yaleeeeeeeeee!!!!!!
Umeshapata bwana?
Wakubwa shikamoo zenu wadogo habari zenu
Mimi niko mgeni kwa hili jukwaa, lakini ni mwenyeji hapa JF kwa sababu nilikuwa msomaji tangu mwaka jana na mwaka huu ndo nimeona nijiunge ili na mie nipate kujifunza yanayojiri humu.
Naomba mnipe maelekezo zaidi maana mie mgeni na mtandao.
Nashukuru kwa kunipokea
Ni miimi Jeska
Mtoto wa Ilala
Sasa na we vipi bana unataka kurusha ndege wangu
We vp wewe ?
Sijambo kaka shikamoo
Nawe wa wapi?
mkuu mbona ile fani nyingine hujasema umesomea wapi.... au ni uzoefu tu??
Huko ndipo niliposomea hapo Naura Primary School
We nawe, unataka kumnyima nini mtoto wa mwanamke mwenzio na mashkamoo yako?? Acha loho mbaya bana!.
.waleta posa mpo.....Mimi mkubwa nina miaka 25 sasa