JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Wakubwa shikamoo zenu wadogo habari zenu
Mimi niko mgeni kwa hili jukwaa, lakini ni mwenyeji hapa JF kwa sababu nilikuwa msomaji tangu mwaka jana na mwaka huu ndo nimeona nijiunge ili na mie nipate kujifunza yanayojiri humu.
Naomba mnipe maelekezo zaidi maana mie mgeni na mtandao.
Nashukuru kwa kunipokea
Ni miimi Jeska
Mtoto wa Ilala
Pita moja kwa moja huku nikukague!
Mimi mkubwa nina miaka 25 sasa
Wakubwa shikamoo zenu wadogo habari zenu
Mimi niko mgeni kwa hili jukwaa, lakini ni mwenyeji hapa JF kwa sababu nilikuwa msomaji tangu mwaka jana na mwaka huu ndo nimeona nijiunge ili na mie nipate kujifunza yanayojiri humu.
Naomba mnipe maelekezo zaidi maana mie mgeni na mtandao.
Nashukuru kwa kunipokea
Ni miimi Jeska
Mtoto wa Ilala
Huko ndipo niliposomea hapo Naura Primary School
Aje tumkague Wote. Nimekaa kimya naona wewe mume unazidi mpaka
Huko ndipo niliposomea hapo Naura Primary School
Uko sahihi mupenziKaribu sana dearest!
Mimi naitwa Kipipi binti Rweyemamu wa kwa Kalokora.
Kwetu ni kuleeeee Misseni Kagera ila ni mkazi wa kudumu wa ChitChat.
Akchwaree infwaakti . . . yuu aa welkamu!
We dogo hebu punguza umbea.
Mi mtoto wa Arusha Ngarenaro!
Karibu sana!
wakware mmeanza!Karibu binti!..
Ukihitaji kampani mi niko single!....
chunga sana wafuatao maana mabibi zao wanatembea na vikopo vya acid,wakikutongoza nifahamishe ili TANMO awaumbue front page jfudaku.Wakubwa shikamoo zenu wadogo habari zenu