Kwa wadada ambao hawajaolewa

Tege Utegwe..Ila Na Hako ka Mchezo kamewasaidiaa wengi me nahisi kama kucheza kamari..
 
Huwa nawaza tu Kama watoto wangejaliwa option ya kuchagua wazaliwe na wazazi gani sijui ingekuwa vipi?
 

Watu wote uliolala nao ulikuwa na mipango nao ya future?
 
umenitonesha kidonda .kuna mwanaume aliosha rungu lake kwangu nkapata mimba
.mtoto alipofikisha miezi miwili tu akafunga ndoa na mtu mwingine....

Lakin si ulifurahia rungu na mtt umepata
 
Mwanzoni nlikuwa na malengo nae bt baada kutest naona mzigo haupo kama nlivodhan... so lazima nkimbie

Kama umeona matarajio ni tofauti na hali halisi kwa nini usiondoke mapema? Unamganda mtu miaka miwili bado unatest tuu...????? Acheni roho za kinyama
 
Kama umeona matarajio ni tofauti na hali halisi kwa nini usiondoke mapema? Unamganda mtu miaka miwili bado unatest tuu...????? Acheni roho za kinyama

Ndo mapenz yalivo sio unyama.... tabia ya mtu unaweza kuja ijua hata baada ya miaka 10.
 

Ndugu yangu huyo mwanaume wa kukwambia kwamba anataka tu asuuze rungu kwako, unampatia wapi? Wengi wao ni waongo tu, utamuuliza una mpango gani na mimi, na atakujibu vizuri tu, "nije nikuoe" eeeeh ndo utaisubiri hiyo siku ya kuolewa kama unavyosubiri siku ya kiama
Kulala mapema na mwanamme inategemea tu kwa kweli. Mwingine utalala naye mapema na mkadumu, na mwingine ukamzungusha weee siku akikupata ndo anakutema vizuri. If u can " JUST CLOSE YOUR LEGS", hutolia eti oooh kanichezea sijui. Tatizo ni kwenye kuimplement hiyo No sex mweeee
 
Ndiyooooo. Sema tu ikawa ndivyo sivyo. Tumeshindwana basi kiroho safi tu, tukaachana.

Hehehehehe wanawake mnakuwaga na moyo wa ajabu sana sometimes...wanaume tunamshukuru mungu kwa hilo
 

NA WEWE UJUE MATUMIZI YA CONDOMUUU.....!!!!!AU ulishikishwa PANGA usitumieee?????
 
Ni wachache sana wanaopata bila kupanga. Wengi wao wanakusudia

na wengi wao wanawategeshea wenye pesa au maisha mazuri hv kwa kudhan akimtegeshea momba ameula.. Kumbe anajichimbia kaburi hvyo
 
umenitonesha kidonda .kuna mwanaume aliosha rungu lake kwangu nkapata mimba
.mtoto alipofikisha miezi miwili tu akafunga ndoa na mtu mwingine....
yaani badala ya kusikitika nimejikuta nacheka iyo kauli yako eti aliosha rungu lake hahahahaah pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…