Kwa wadada ambao hawajaolewa

Kwa wadada ambao hawajaolewa

julysa

Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
50
Reaction score
26
Natumai mu wazima wote.

Kwenu dada zangu na wadogo zangu;Jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.

Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.

Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.

Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.
 
Ushauri wa maana kweli,

naomba ufafanue vzr kwenye kutumia kinga
 
Haujaelewa......amesema:- Itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao....hakusema watoto wasiokuwa na baba kaka km
 
Last edited by a moderator:
Kama mm huwa naosha rungu tu siku hizi ukitegesha mimba ujue u-single mother unakuhusu.
 
Msioolewa mmesikia?..
My huz MO11 come close to me....
 
Last edited by a moderator:
Tumekusikia. But na nyie wanaume kama huna mpango na Mtu muache tu. Unalala na binti wa watu while unajua huna future naye what for? Wengine hawajielewi ndo atakutegeshea mimba akidhani ndo hutamuacha, kumbe ataachwa tu na Mwisho wa siku mtoto ndo anayekuja kuteseka. Huna future na Mtu, then be a gentleman, dont sleep with her, si hutaki mimba na Mtu usiye na future naye???
 
Umeshaambiwa wanataka kuosha rungu....jitu lina migenye na majukumu halitaki unataka lifanyeje? Wapige nyeto? Aah vibaya hivyo mtoto mzuri waache vijana wale raha....
 
Umeshaambiwa wanataka kuosha rungu....jitu lina migenye na majukumu halitaki unataka lifanyeje? Wapige nyeto? Aah vibaya hivyo mtoto mzuri waache vijana wale raha....
Aaaaaah wanasemaga basi Kama wanataka Kuosha rungu...? Anakukoleza weee na viungo vya zenji, unakuja tu kushangaa picha zake za harusi. Wawe tu wakweli Kuwa wao wanapita, ukitaka kujilipua basi freshiiiii tu
 
ndo maana single mothers wameongezeka siku hizi. Hii ni mojawapo ya sababu watu kudhan akipata mimba itakuwa kigezo cha kukamata mwanaume kumbe wengne hawakamatiki
 
Baba zao wapo,hakuna mtoto asie na baba,lazima yupo,eiza kafa au yuko hai.

Hata kama hajulikani lakini baba yupo! Huu usemi kwamba mtoto hana baba ni matusi makubwa. Binadamu hazai na ng'ombe!
 
Aaaaaah wanasemaga basi Kama wanataka Kuosha rungu...? Anakukoleza weee na viungo vya zenji, unakuja tu kushangaa picha zake za harusi. Wawe tu wakweli Kuwa wao wanapita, ukitaka kujilipua basi freshiiiii tu

hivi unafikir mm nikikufuata kuwa nataka nikugegede halafuu nitembee zangu hiv utanikubali?

Na kawaida ya mwanamke ukimwambia ukweli hakubali sijui kwann mmekuwa hvyo
 
we mwanaume kama unajua unapita tu tumia kinga wengi wenu mnapiga tu kavu then mkishatia mimba mnakataa wakati hata siku za hatari za huyo mwanamke hujawai kuzijua!!!!!
 
Umeshaambiwa wanataka kuosha rungu....jitu lina migenye na majukumu halitaki unataka lifanyeje? Wapige nyeto? Aah vibaya hivyo mtoto mzuri waache vijana wale raha....

tena mkiambiwa ukweli hamkubali mnataka mpaka mdanganywe ndio mnafurahii,,.

Sijajua kwann mnapenda kudanganywa
 
umenitonesha kidonda .kuna mwanaume aliosha rungu lake kwangu nkapata mimba
.mtoto alipofikisha miezi miwili tu akafunga ndoa na mtu mwingine....
 
hivi unafikir mm nikikufuata kuwa nataka nikugegede halafuu nitembee zangu hiv utanikubali?

Na kawaida ya mwanamke ukimwambia ukweli hakubali sijui kwann mmekuwa hvyo

Aiseeee...kwa hiyo unavyoniambia utanioa unanidanganya kumbe...?? Alafu....kama unataka kugegeda tu na kutembea kwa nini umfuate mdada wa watu anayejiheshimu na mwenye malengo ya kujenga familia wakati wapo kibao wanaouza na hawana shida ya ndoa wala kukufuatilia unakaa wapi?
 
Back
Top Bottom