Kwa wababe wa Hesabu tu....

Kwa wababe wa Hesabu tu....

Yes Yes Yo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
232
Reaction score
99
1795609_638731799527032_587863810_n.jpg
 
Yes Yes Yo meiona hiyo stepu ya tatu kutoka mwisho,kama unajua hesabu vizuri huwezi fanya hivyo.yaani hapo ni lazima urudi kwenye swali i.e 0/0 ambayo jibu litakuwa infinity na sio 2,kwa maelezo zaidi fuaTana na MAGAZIJUTO.
 
Last edited by a moderator:
umeiona hiyo stepu ya tatu kutoka mwisho,kama unajua hesabu vizuri huwezi fanya hivyo.yaani hapo ni lazima urudi kwenye swali i.e 0/0 ambayo jibu litakuwa infinity na sio 2,kwa maelezo zaidi fuaTana na MAGAZIJUTO.

Je? a^-b^=(a+b)(a-b)
 
Mpaka step ya tatu uko sahihi ila kuanzia step ya nne umetengeneza swali lingine mzee tofauti na la hapo juu. Katika hesabu unatakiwa uwe na consistency pia ya kujibu swali sio unaingiza idea za kutoka akilini mwako ambazo zinakupa jibu unalolitaka wewe.
 
acha uongo mkuu,mwisho wa siku L.H.S lazima iwe sawa na R.H.S,
 
Zero divide by zero is indeterminate.
Assume 0/0=x. Rearrange 0=0*X. Any number x satisfies the equation, hence zero divide by zero is indeterminate(haina jawabu)
 
Je? a^-b^=(a+b)(a-b)

sikumaanisha hiyo mkuuu,basi niseme step ya nne toka mwisho(kwenye jibu) hapo (10-10)/(10-10) zilivyocancell hapo ndo penye shida nikiwa napenda kukujulisha kuwa hata my son asingefanya hivyo sasa unapofanya hesabu inatakiwa sheria zaidi ya moja ukizijalibu kwenye hesabu moja kama unaona inafaa kujaribu basi sheria hizo zikileta jibu linalofanana basi hilo jibu liko sawa lakini kama jibu la sheria moja wapo likatofautiana na jibu la sheria nyigine ili hali hiyo hesabu inasifa ya kujaribishwa na sheria zilizotumika basi ujue kati ya jibu mojawapo litakuwa la uongo, SASA KUANZIA HAPO NDO NTAKAPO ANZA KUKUAMBIA HILO JIBU LA HIYO HESAB SIO SAHIHI KAMA IFUATAVYO:-
1. SHERIA YA KWANZA ULIYOTUMIA(KUCANCELL/KUKATA ZA JUU NA ZA CHINI KWA KUWA ZINAFANANA)

i.e (10-10)/(10-10) = 1 hapa wewe umekata hebu tujaribu kwa sheria ya pili
2.MAGAZIJUTO a.k.a powerful principle

i.e (10-10)/(10-10)=0/0 hapa nimetoa za juu na za chini pekeyake pekeyake
SASA KWA KUWA JIBU LA KWANZA NA LA PILI YAPO TOFAUTI BASI MOJA KWA MOJA KUNA JIBU AMBALO HALIPO SAWA AMBALO LIMEFANYWA NA NJIA AMBAYO SIO SAHIHI, sasa tuelekee kulitafuta lipi ni sahihi na lipi si sahihi

TUCHUKUE MFANO MWINGINE
1.(2+2)/(2+2)=1 kwa kucancell za juu na chini, pia =(2+2)/(2+2)=4/4=1 kwa magazijuto
2.(2+5)/(2+5)=1 kwa kucancell za juu na chini, pia =(2+5)/(2+5)=7/7=1 kwa magazijuto
3.(2-2)/(2-2)=1 kwa kucancell za juu na chini, pia =(2-2)/(2-2)=0/0=infinity. kwa magazijuto

sasa ukifikiria vizuri mfano wa tatu unaonesha njia ya kucancell ambayo ni ya mpito inatofautiana na MAGAZIJUTO ambayo ni powerful basi namaliza kwa kusema njia ya kukancell inatumika na inakuwa inaleta jibu la ukweli kwenye mazingira fulani tu lakini sio ya kwako hapo juu,so kwa wewe hapo juu hukutakiwa kuitumia hiyo ungetumia MAGAZIJUTO.

HENCE 0/0 is not egual to 2.

hesabu zinahitaji ukomavu kwenye kufikiria na sio siasa.GOOD DAY
 
Back
Top Bottom