2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,361
- 6,080
Utafiti unaonyesha Vijana wengi wa Kiume wanaotoboa hadi kufika vyuo vikuu, wanakua hawajawahi ku -sex ama kua na mahusiano ya kimapenzi na wanawake maishani, ukilinganisha na lundo la wasichana wanaoingia vyuoni. Wasichana wengi wana uzoefu wa kugegedwa.
Yaani ni Rahisi kupata mabikira 400 hadi 600s wa kiume kuliko kupata bikira mmoja wa Kike mmoja.
Sababu mbali mbali hupelekea haya;-
Kuwepo kwa Lundo la madomo zege, wafuata Dini(fanatics),
waogopa magonjwa ya zinaa,
wanaotii USIA wa wazazi wao,
wanaoamini wanawake waliofika elimu ya chuo hawafai kuoa,
Wasongo
nk
Sasa unawezaje kusema wanaume ni wahuni?
Swiss me..