Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,006
Maisha ya sasa hivi haijalishi unajua nini ila unamjua nani. Kama huna pesa au wewe sio mtu maarufu, au kiongozi fulani, amin amin nakuambia hakuna mtu atakujali kwenye haya maisha.
Kwa wale wa familia za chini tujitaidi sana kufaamiana na watu na kujenga uaminifu na kujua namna ya Ku win mioyo ya watu popote pale tulipo, watu hao ndio huwa njia ya mafanikio yetu.
Pata tu picha unaenda hospitali toka sa moja had sa saba unasuburi huduma, anafika kijana mdogo kapaki range rover nje anapokelewa na nesi na kupelekwa moja kwa moja kwa daktari, nenda benki kuna laini ya watu wa kawaida, laini ya bulky cash (wanaotoa pesa ndefu au kuweka) na executive service (dirisha hili hutumika na viongoz na watu wengine maarufu.
Tunapomaliza vyuo vijana wengi tuna matarajio makubwa ila tunapofika mitaani tunashindwa kuendana na uhalisia wa maisha. Kwakujiona wasomi na kilichoko kichwani tu kitatutoa. Ni moja ya kosa kubwa sana.
Baada ya kukosa kazi miaka 3, john alipata kazi ya kusimamia bustani za AICC kipato kikiwa kidogo ilihali ana degree yake ya procurement, aliweza kuelewana na ma boss wengi waliokua wakiingia katika jengo hilo kazini na kutokana na ucheshi alijenga connection nao na Ku win trust yao kwa kuwasaidia kuosha magar yao, kuwasaidia mabegi wanaposhuka kwenye gari n.k
Mwaka mmoja badae walitangaza nafas za procurement and logistics , john ali apply na kwenye interview waliokua kwenye panel walishangaa kumuona john (mkata maua) kuwa pale, ila baada ya kuona vyeti vyake walimuajiri moja kwa moja bila kujali nikina nani wengine waliomba kazi.
Kiufupi john alipata kazi kutokana na connection alioijenga pamoja na trust.
Kuna idea yakujiajiri katika secta binasfi, hapa utaitaji mtaji, wazo la biashara, utafiti wa biashara husika, ila pia biashara hiyo kuweza kufanikiwa unaitaji kuongea na waliofanikiwa katika biashara hiyo, wao hujua masoko, strategies na mambo mengine. Pia huo mtaji utaitaji kufanya kwanza kazi ndo uupate.
Kwa wanaotoka first class families wanaona izi kama stori tu, wale wa second class families bado pia wazazi wameweka miradi ya kutosha ,ila ndugu zangu wa lower class families utaitaji kuwa mbunifu sana.
Regards
S.Andrew