Kwa vigezo hivi huenda tukakosa wanasayansi

Uko sahihi, viwango vya ufaulu kwa Sayansi na Sanaa vingepaswa kuwa tofauti, LAKINI kwa viwango vya sasa vya ufaulu wako SAHIHI. Kwa maoni yangu, cut off points kwa Sayansi zingekua 5, na Arts zingekua 6. Utaratibu huu ulishawahi kutumika miaka ya nyuma (less than 10 years ago) sioni sababu kwanini usitumike sasa
jamaa apo angalau umenena ki2
 
Elim yenyew ya advance haitoi wanasayans Bali ni kukarir madesa tu.. Hpo tunapim uwezo wa kukarir tu bas sayans anavitu ving vya kukarir kw Tz
kwel practical n kufoj uko vyuon na makazn cjui wanafanya de sam au miujza ya kuelewa inawapata wakiwa chuo
 
Uko sahihi, viwango vya ufaulu kwa Sayansi na Sanaa vingepaswa kuwa tofauti, LAKINI kwa viwango vya sasa vya ufaulu wako SAHIHI. Kwa maoni yangu, cut off points kwa Sayansi zingekua 5, na Arts zingekua 6. Utaratibu huu ulishawahi kutumika miaka ya nyuma (less than 10 years ago) sioni sababu kwanini usitumike sasa

point 5 tena???
point nne zimewatoa jasho
 
Kweli wewe ni "graduator" na si "mwasilika". Taarabu na "hip hap" ni tofauti kwa kweli.
yani mimi huwa nashindwa kuelewa uandishi wa namna hii,ni kutokujua kiswahili ama ni nini? halafu unaweza kuta huyu mtu ana bachelor's degree
 
Hatutaki wanasayansi vilaza.. hivi wewe mtoa mada unafikiri kilaz.a wa div 3 anaweza kuwa mwanasayansi?.. au kusoma chemistry basi umeshakuwa mwanasayansi..
wewe utakuwa ni mwanafunzi uliyefeli kidato cha sita sasa unaleta vichekesho..
wanasayansi duniani kote wanapata maksi nzuri kwenye masomo yao..
wewe endelea kucheza wenzio wanapata div 1..wewe lialia kwenye mitandao..
 
Wewe hassan mdidi nawewe umesoma chuo?
kwa uandishi huo..wewe umesoma memkwa na umeishia form 2..
si ajabu unajiita mwanasayansi.. hatuwataki manasayansi wa aina hii
 
kiukweli mtoa mada yuko sahihi. huwezi linganisha PCM na HGL katika shule zetu za serikali. shule nyingi za serikali hazina walimu wa kutosha wa sayansi na hisabati. lakini walimu wa masomo ya arts wamejaa kibao. pia shule nyingi za sayansi hazina lab technician.serikali ilipaswa kutenganisha sifa za sayansi na arts.
 
AISEE NAMISHANGAA SANA
KILA MTU ANASOMA KILE ANACHOKIWEZA VIPI UANZE LAWAMA.
ACHENI HABARI ZA KUONA DAKTAR N BORA KULIKO MWANASHERIA.
WOTE WANATEGEMEANA.
NAOMBA TU MSIJIDHALILISHE KUA NYIE N BOGUS,
MBONA KUA WANAOPATA ONE,VIP WE USHINDWE KUIPATA.
Jamani sio hivyo, mbona huwa kila siku vyuoni hao watu wa sayansi hupewa previlages za Kupata mkopo.
Motisha hiyo ndo imesababisha post itolewe.
 
Back
Top Bottom