Tulisha waonya matumizi ya mbeleko ni hatari kwa mustakabali was taifa letu.Acheni democrasia ifanye kazi.Sasa hivi ni mwendo wa kumpiga mabomu
Tulisha waonya matumizi ya mbeleko ni hatari kwa mustakabali was taifa letu.Acheni democrasia ifanye kazi.Sasa hivi ni mwendo wa kumpiga mabomu
kuna haja, watu wataona wameheshimiwa sana.Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea ubunge wa Chadema Mh Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa Chadema kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?
Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea ubunge wa Chadema Mh Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa Chadema kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?
Uko sahihiNaweza kusema Cecilia amefanya mkutano wa jimbo bora na wenye mafuriko makubwa kuliko mgombea yoyote wa ccm hapa tanzania.
Jiografia ya eneo lile,kwayo anasitahili pongezi,huyo Mama,naona rika za watu wote kwenye mkusanyiko huo...kuanzia wanaonyonya,mpaka wazee.Uko sahihi
Watajie wana JF uongo na matusi aliyoyasema Lisu.
Let us be systematic: What is a lie: a false statement made with deliberate intent to deceive; an intentional untruth; a falsehood. something intended or serving to convey a false impression
What is abusive language-abusive: using rude and offensive words:
Sasa twambie mi matusi na uongo gani Lisu amezungumza
je shule zilisitisha masomo ?Jiografia ya eneo lile,kwayo anasitahili pongezi,huyo Mama,naona rika za watu wote kwenye mkusanyiko huo...kuanzia wanaonyonya,mpaka wazee.
Lissu kimbiza mwizi meen!Wataumbuka vibaya sana !
Hii gia Lisu aliyoingiza akanyage wese mpaka Msajili na wenzake waulizane nani alimpitisha huyu mtu.
Haiwezekani CCM nzima kuanzia ngazi ya kata mpaka Taifa wanamjadili Lisu tu na sio ilani ya chama chao.
Sikiliza wetu wenye vision wanavyo piga sera na sio kuongelea ubinfsi kama mwanamke.
Ooh mimi ninefanyiwa hivi. Ooh mimi ninefanyiwa kile. Ooh mimi pigwa risasi 38.
Ooh mimi nimenyimwa jela. Kila kitu mimi, mimi, mimi!
Sasa mimi ndiyo sera? Atoe sera ili ajue kama wananchi watampa kura au la!
Lissu ni mbinfsi sana. Na ana umimi mwingi.
Yeye anaweza kuwasema wenzake kuwa wao ni Marietta, lakini Harmonie kuwa yeye ndiyo dikteta mkubwa!
akachochee kuniErythrocyte ni muhimu apite wananchi wasije wakavunjika mioyo wakafikiri anawachukulia poa
Acha akawashe moto watu wapate kuelimika na kutambua haki yao
Aende tu ili maccm yazidi KUTAPATAPA.
Hizi picha za kutengeneza zitatusaidia?Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea ubunge wa Chadema Mh Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa Chadema kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?
una akili timamu ?Hizi picha za kutengeneza zitatusaidia?
Jibu swali kamanda.una akili timamu ?
Aende ili maccm yazidi kupoteana kabisaHuu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea ubunge wa Chadema Mh Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa Chadema kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?