mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Najaribu kuwaza...
Kila nikifungua TV nakutana na habari za mazingira watu wanakamata Chainsaws, mbao zinakamatwa kwa kuvunwa misituni, watu wananyang'anywa pump za umwagiliaji zinazoharibu vyanzo vya maji.
Regulations zimewekwa hadi mtu akitaka kuchimba Kisima tu nini afanye asije kuchimba kwenye upstream na kusababisha watu wa chini kukosa maji.
Watu wasomi wanapoanzisha miradi ya Muda mrefu Kando ya Chanzo ya maji huakikisha hawaingii migogoro na serikali na kupata hasara ya kujitakia wanaongeza hilo katika planning zao kabla ya kuanza miradi.
Sasa leo nashangaa sana kuona utetezi Mkali juu ya kinachoendelea kwenye shamba ambalo limeleta utata siku za karibuni.
Nilitegemea baada ya watu wa mazingira baada ya kumpiga faini angekuwa amekwisha hamisha miradi yake kwa manufaa ya vizazi vijavyo na kuanzisha kampeni Jimboni kwake kwa wote kucomply na sheria za mazingira.
Chadema kukaa kimya katika hili je!!!! Rasilimali zetu na vyanzo vya maji safi kwa vizazi vijavyo vitakuwa Salama chini ya CHADEMA siku ndoto zao zikitimia???
Naweza...