Kwa Utendaji huu wa Rais Magufuli, Wapinzani mtajisumbua kusimamisha mgombea 2020

Ilo liko wazi, akuna haja ya wapinzani kujisumbua kwenye kampeni...bora wakalime nyanya zinaweza kuangukia kwenye msimu wa ela
 
Nakuona kwenye ubora wako
Kama yule jamaa Salary Slip na akina Mmawia.
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Better ,hizo hela anatoa mfukoni kwake?anachokifanya aliahidi 2015 na bado hajatekeleza,
Tutakuna kwenye box

awamu zilizopita zilikuwa zinamwaga vyakula vya mama ntilie... vinawapiga mabomu wamachinga na kupora mali zao bila huruma..

tukiacha mambo ya hela za mfukoni. magufuli anawapenda raia wake kwa vitendo
 
Kuwa mwana ccm inahitaji kuwa mnywa gongo
Kiufupi Tu jamaa anagonga kazi,mbali na mapungufu yake lakni angalau nchi inaonekana ina kiongozi, somtyme hata mikwara yake inatia moyo, Mimi ni mhanga wa maamuzi yake lakni from my heart , i appreciate him....

siku akiondka madaraka itachukua miez mitano tu kumkumbuka huyu Mwamba, unless atuachie Majaliwa au Lukuvi, kdogo wanaweza
 
Kawadanganye wadanganyika wenzako
awamu zilizopita zilikuwa zinamwaga vyakula vya mama ntilie... vinawapiga mabomu wamachinga na kupora mali zao bila huruma..

tukiacha mambo ya hela za mfukoni. magufuli anawapenda raia wake kwa vitendo
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani

Rais ndio ameshawapanga tume ya uchaguzi na vyombo vya dola atangazwe kwa 99%?
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani

Kuna mijitu ya ajabu sana.
HUU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CCM HAWALALI USINGIZI.WANAPITA HATA NYUMBA KWA NYUMBA KUSHAWISHI WATU WACHUKUE KADI ZA CCM NA KUWADANGANYA KUWA WAKIWA NA HIYO KADI, BASI SEHEMU YEYEOTE ATAKAYOENDA KUHITAJI HUDUMA , AKAIONESHA HIYO KADI, BASI ATAPEWA KIPAUMBELE.

MBAYA ZAIDI, VIONGOZI WOTE WA CHAMA WAKIOMO WAKUU WA WILAYA WAMESHAPEWA MAAGIZO KUWA HIWE IWAVYO, LAZIMA CCM IPITE.

SASA UNAPO SEMA LAZIMA ASHINDE, UNANIPA MASWALI
 
Hivi kipindi umezaliwa wewe cond...0...m hazikuwepo, maana akiuona huu uzi baba yako anatajilaumu, bora angekuhifadhi kwenye condo.....
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
Medula zimecorrupt hapo Lumumba kwa ujira wa buku 7
71119555_190785968614060_8143310711633519208_n.jpeg
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani

Kwann mnaogopa hadi mikutano ya ndani ya wapinzani kama ushindi ni 99%. Ni Dodoma pekee mnawezashinda bila kubebwa.
 
Akili za ccm na "mtindio wa ubongo" ni pete na kidole. Mtoa mada amecheza mule mule! Tofauti yake ni kuelezea tu kinyume.
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
Mjinga nambari moja mwenye mtindio wa ubongo nipo hapa nakuzoom tu
 
Ningekuwa mimi ndiye Maxence Melo, ningewafyekelea mbali Lumumba wote humu. Kila siku mnakuja na nyuzi zenu za kipuuzi puuzi tu na zilizojaa kila aina ya porojo.
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
Igeuze hiyo 1 kwamba itakua niccm nawanachama wake
 
Nimependa kunyamazisha wale wsliokuwa wanatukana dini za wenzao.Bado wauaji wa vizee na albino hapo hajawashughurikia.
 
Back
Top Bottom