Kwa Utendaji huu wa Rais Magufuli, Wapinzani mtajisumbua kusimamisha mgombea 2020

Wajinga pekee ndio watampigia kura ila kura zitapungua sana hazitafika 5mil kura zote
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
Unadhihirisha kiwango chako cha ufahamu.Wewe hauna mtindio wa ubongo,unakosa ufahamu
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
Kama unataka kuona asilimia zako hizo mwambie tuweke tume huru tu.
 
Uko sahihi kabisa.

Hawa usiwabomolee nyumba zao, walinipa kura.

Serikali haikuleta tetemeko.
Nawakumbuka watani zangu wa Bukoba siku wanaambiwa hilo neno waliongea kiingereza, kihaya, kiswahili yaani fully kuchanganyikiwa
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
Sikushangai kwani tafiti zinaonyesha watz wengi kama wewe waliugua utapiamlo utotoni ambao umeathiri uwezo wa kufikiri,

Ccm inawapenda sana watu kama nyie ili iendelee kuwakamua.
 
Nakuona ushajipanga kusherehekea ushindi
Subiri uchaguzi, utalia na kusaga meno.
FB_IMG_1561277775010.jpeg
 
Twaweza walitoa utafiti makini sana
Sikushangai kwani tafiti zinaonyesha watz wengi kama wewe waliugua utapiamlo utotoni ambao umeathiri uwezo wa kufikiri,

Ccm inawapenda sana watu kama nyie ili iendelee kuwakamua.
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
Hivyo viposho mnavyopewa kama infomer wa uvccm/tiss vinawazuzua sana,
 
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
Mkuu mbona mada yako inaonesha una maisha magumu sana stress mpaka kwenye ubongo lwenye cerebropontine angle??

Tafuta hela mkuu achana na lobbying za wanasiasa tena wa ccm.
 
Kuna mijitu ya ajabu sana.
HUU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CCM HAWALALI USINGIZI.WANAPITA HATA NYUMBA KWA NYUMBA KUSHAWISHI WATU WACHUKUE KADI ZA CCM NA KUWADANGANYA KUWA WAKIWA NA HIYO KADI, BASI SEHEMU YEYEOTE ATAKAYOENDA KUHITAJI HUDUMA , AKAIONESHA HIYO KADI, BASI ATAPEWA KIPAUMBELE.

MBAYA ZAIDI, VIONGOZI WOTE WA CHAMA WAKIOMO WAKUU WA WILAYA WAMESHAPEWA MAAGIZO KUWA HIWE IWAVYO, LAZIMA CCM IPITE.

SASA UNAPO SEMA LAZIMA ASHINDE, UNANIPA MASWALI
Hawajui sayansi ya siasa. tutazichukua hizo kadi tutaingia kuwavuruga ndaini kwa ndani
 
Back
Top Bottom