Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,816
- 8,982
ngoja nikwambie wanachofanya:Tupeane elimu wakuu.
Endapo angeituma hiyo hela jinsi alivyotakiwa kuirejesha, angeingizwaje mjini zaidi?
anatumaa hela kweli inaingia kwa akaunti yako vizuri tu!
kama ulikuwa na laki mbili, akatuma laki mbili inakuwa laki 4
sasa atakupgia simu umrudishie! ukimrudishia utamrudishia kwa namba atakayokupa maana hiyo aliyoutuma kimakosa inakuja bila namba kwa kuwa ni wakala!
sasa ukirudisha kwa namba ingine! yeye tena anapga kwa mtandao mfano voda warudishe tena ile laki mbili kwa kuwa voda wataamini umetumiwa kimakosa
HAPO NDIPO UTAKAPOANZA KUIMBA, dunia ina mambo lukumba lukumbaa