Okinawan
JF-Expert Member
- Apr 10, 2018
- 254
- 261
Habari,wanajamii jana kuna suala ambalo limenigusa sana na si mara moja kutokea bali ni mara ya pili juzi kuna ndugu yangu alitumiwa pesa kwenye mtandao fulani wa simu alipoipokea ile pesa haukupita muda alitumiwa meseji nyingine iliyomtaka arudishe pesa kwa wakala maana ilitumwa kimakosa,yeye hakuirudisha ile hela ila ilipofika jioni alianza kupigia simu watu wake wote ambao alikuwa na ahadi nao ya kulipana hela ndipo kuna mmoja akamwambia nilikutumia kiasi fulani asubuhi.
Hapo ndipo jamaa aliposhtuka kama ule ulikuwa ni utapeli Jana mimi nilitumiwa pesa kwenye mtando uleule kama anaotumia ndugu yangu ambapo baada ya kutumiwa pesa nikapokea meseji nyingine inayonitaka nirudishe pesa kwa wakala haraka maana namba ilikosewa kwasababu nilifahamu huu ni utapeli nilipiga namba ya huduma kwa wateja na keeleza yaliyonisibu kwakifupi waliniambia pole sana na siku nyingine niwemakini.
Swali nililojiuliza je,kama ningetapeliwa kweli fedha zangu zingerudi na kama wangenitapeli hawa watu ni untouchable na si rahisi kuwapata? Namba zinazoonekana kwenye hiyo picha ni namba za hao matapeli na hiyo meseji walionitumia msaada kwa wataalamu wa mambo