Kwa uongozi na wanachama wa Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa uongozi na wanachama wa Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Feb 4, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Napendekeza huyu muheshimiwa aitwe Mwalimu willibrod Peter Slaa. Badala ya
  Dr Slaa. Sababu ni hizi zifuatazo -
  1.Hili jina la Dr kwa sasa limekuwa halina hadhi wala heshima.Maana watu wana
  peana hayo ma Phd ya udoctor hata bila kusomea au kupewa hiyo tuzo pale pana
  postahili kupewa. Mtu anajiunga na hivi vyuo vya nje vya ubabaishaji anasoma ku
  pitia enternate,baada ya miezi sita au mwaka utasikia nae anaitwa Dr. Yaani imeku
  wa mchezo kiasi kwamba hata uswazi mabitozi nyangema wanajihita madr fulani.

  2.Huyu muheshimiwa Slaa hana tofauti sana na hayati mwl nyerere. kuanzia mtaza
  mo juu ya Taifa na wananchi wake,na pia ni mtu ambae day by day anazidi kukuba
  rika katika jamii ya watanzania kwa uthubutu wake wa kuwatetea.

  3.Huyu ni mtu wa kwanza ndani ya nchi yetu kuibua ufisadi mkubwa mkubwa ndani ya serikali na chama tawala. Pia huyu ni kiongozi wa kwanza kusema inaweze
  kana baadhi ya malighafi za ujenzi kushuka bei hadi elfu 5 ili wananchi wajenge na
  kuwa na makazi bora nk.

  4.Kwangu mimi muheshimiwa Slaa ni kama mwl nyerere wa Tanzania.
  Ana hekima zinazofanana na mwl nyerere na ana busara zinazofanana na
  Nelson Mandela wa Republican of South african. So kama kuna uwezekano
  tumwite mwalimu badala ya Dr, jina ambalo kwa sasa halina hadhi kwa mtu
  kama muheshimiwa Slaa.

  My take - Haya ni mawazo yangu tu na silazimishi watu kuyakubali.
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aitwe padre aliyeasi nakutembea na mke wa mtu kinyume cha sheria halali za ndoa (kidini) na nchi
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Toa Boriti katika jicho lako ndo waweza ona kibanzi kidooooogo katika jicho la mwenzio!!
   
 4. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kaka Topical kwanini unachuki na muheshimiwa Slaa? Huyu humuwezi na
  ni teyari ameshakuwa chaguo la watu. Wanamshindwa ccm itakuwa wewe?
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hata mimi nashangaa anagombana na jiwe!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Farting?
  Hivi aliasi?
  Ilikuwaje? ambu simulia tujue kwa mara ya kwanza!
   
 7. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Wazo zuri. Cheo cha Dr hakina tena heshima siku hizi kwani hakitendewi haki yake hasa hapa kwetu. Dr wa Kweli anafaa kuitwa mwalimu ila yote na yote naomba aendelee na moyo wake wa kuwatumikia wananchi. Asikate tamaa kwani tupo wengi ambao tunapiga magoti kumwombea kila siku. Mungu ambariki sana Dr wa Kweli.
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  aitwe mwalimu aliyefukuzwa kwa kosa la kulawiti watoto wa shule ya msingi.
   
 9. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kama topical ni R1 au Msomali mwasisi wa propaganda za udini unategemeaje?
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hata wakimpenda dunia nzima haibadili kitu

  Watu wengi huwa ni wajinga, wachache huwa ndio wenye kufikiri (proven)
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ala kutembea na mke wa mtusi ndio sifa yake mkuu au? kuna uwongo hapo?

  Tutaje sifa zote tusiache hata moja (nzuri na mbaya) ok huo ndio uadilifu.
   
 12. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi ingawaje kuna watu wakupinga mimi nakuunga mkono.
   
 13. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jamani wanaJF tuachane na Topical! kwani it seems the guy is not normal at all.
  Naomba tuchangie hii post na tupate mchanganuo wa mawazo kwa watakaochangia
  kuhusu kumwida mheshimiwa wetu Dr au mwalimu?
   
 14. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa kuniunga mkono!
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Of course i am far beyond "you die hard funs"

  Mbadilisheni awe Mt. Wilibroad Slaa

  Lakini ukweli ni kwamba ameasi upadre, ametembea na wanawake bila kuoa, hatimaye na mke wa mtu (????) eti mwalimu idiot
   
 16. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo nafikiri mjinga ni wewe Topical
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ok nimekubali muiteni "mwalimu wa kutembea na wake za watu bila utaratibu"
   
 18. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Topical hebu tuache masikhara na tuongee ukweli kwa faida ya nchi yetu. Hebu nitajie kiongozi
  aliye na sifa za uongozi kama Dr Slaa
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwani Slaa ana sifa za uongozi? in the first place? hana

  Kiongozi wa upinzani au yoyote Tanzania? nikutajie!
   
 20. k

  kizazi kipya JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuargue na Topical unapoteza muda buree.........a corrupt guy
   
Loading...