Kwa uongozi na wanachama wa Chadema

Aitwe padre aliyeasi nakutembea na mke wa mtu kinyume cha sheria halali za ndoa (kidini) na nchi

Double standard! In another thread your are complaining about counting the good and bad of others! Here you are doing exactly that! And you think you can think!!

With this you have displayed your true colours! Be consistent!
 
It depends your understanding dude!

It depends the question posed?
 
Nataka unitajie anayeweza kuwa kama Dr slaa kutoka kwenye top 4 ya ccm

Jakaya Mrisho Kikwete -Humble and democratic, beat Slaa by far election 2010

John Pombe Magufuli - Active, result oriented leader

Alli Mohamed Shein - Educated, humble and believe on fairness

Anna Tibaijuka -educated, hard worker want more?
 
Sidhani kama ni sahihi kumwita mwalimu. Hadhi na heshima ya Dr.Slaa inajulikana hata ukimwita Bw. Slaa,Mh.Slaa au vyovyote vile. Huyo ni mtu ambaye hata maadui zake wanamgwaya!! Tabia ya kubadilisha majina na title ni ya watu wasiojiamini. Mtakumbuka hata huu utambulisho wa kumwita Jakaya Mrisho Kikwete 'jk' ulienezwa zaidi na magazeti ya udaku na wapambe wake mwaka 2005 wakijaribu kumfananisha na Mwl. J. K. Nyerere!!! ulinganisho ambao umeangukia pua! Najua wapo watakaosingizia kuwa kuna jina la khalfani kwenye majina yake lakini kabla ya hapo hakuna wakati alikuwa akiitwa jk. Lakini daima ugonjwa wa kutokujiamini ni hatari sana na unamwathiri mtu vibaya sana. Angalia Kikwete alivyo kimya wapambe wake wanapomuita dr..linganisha na BWM alivyokataa kuitwa mtukufu na wapambe wake, na kumbukeni walikuwa wameanza! halafu piga picha kuwa viongozi wa ulaya wengi wana u-dr. wa heshima lkn hutasikia wakìitwa kwa title hiyo.. Kama Dr. Slaa hajawahi kuwa mwl. akiitwa hìvo atakuwa ameingia kwenye mtego wa kupewa sifa zisizo zake.
Ni mtazamo wangu.
 
Zero Topical! all of them hakuna wakumlinganisha na Dr Slaa. Huyo fisadi mkuu ndiyo kabisaaa zero
 
Sawa mkuu nimekupata,ila jina mwalimu halina uzito mkubwa na linaonekana ni la kawaida tu ktk jamii.
Kumbuka hata mwl nyerere alikataa kupachikwa ma Phd fake ya udoctor. Kwahiyo nafikiri mwalimu siyo
jina la sifa kihiiivyo. Anyway nashukuru kwa mchango wako mkuu
 
Zero Topical! all of them hakuna wakumlinganisha na Dr Slaa. Huyo fisadi mkuu ndiyo kabisaaa zero

Mawazo yako (mtazamo)

Hata ingekuwa dunia nzima inasema slaa, mimi ningesema BIG no!

"Happened to a priest left, he wanted more space to womanize, become an MP backed by "church denomination" failed miserably agains rulling party! crying foul play

Cannot be a hero by any intellectual standards...
 
Aitwe padre aliyeasi nakutembea na mke wa mtu kinyume cha sheria halali za ndoa (kidini) na nchi

Kina mama ni makonde yenu Muyaendee mpendavo
Acha ukafiri
kama alishindwa kumfanyia insafu wengine wapo ni sunna hizo utakufa meno nje na kijiba cha roho kalagha baho na ubozi wako wayago woja!
 
watu wanaopenda waitwe dr wakati hawajasomea ni wale wasiojiamini. hakuna rais duniani ambaye hana phd ya heshima ila ni idd amini na jk tu ndio wanaotumia hiyo title
 
Mawazo yako (mtazamo)

Hata ingekuwa dunia nzima inasema slaa, mimi ningesema BIG no!

"Happened to a priest left, he wanted more space to womanize, become an MP backed by "church denomination" failed miserably agains rulling party! crying foul play

Cannot be a hero by any intellectual standards...

Because you depict to be Mr. Zero in you head. You believe in a stance others do not share with you. You have made up you mind out of hatre environment and you are scared by a personality which has no harm to you, who is adored by others. You are a lu....
 
kuna watu na viatu. Yaani badala ya kufikiria maendeleo wanafikiria majina. Pumbavu kabisa lete mambo ya maana. Na mijinga mingine inaunga mkono kwa sababu katajwa bahasha wao
 
Napendekeza huyu muheshimiwa aitwe Mwalimu willibrod Peter Slaa. Badala ya
Dr Slaa. Sababu ni hizi zifuatazo -
1.Hili jina la Dr kwa sasa limekuwa halina hadhi wala heshima.Maana watu wana
peana hayo ma Phd ya udoctor hata bila kusomea au kupewa hiyo tuzo pale pana
postahili kupewa. Mtu anajiunga na hivi vyuo vya nje vya ubabaishaji anasoma ku
pitia enternate,baada ya miezi sita au mwaka utasikia nae anaitwa Dr. Yaani imeku
wa mchezo kiasi kwamba hata uswazi mabitozi nyangema wanajihita madr fulani.

2.Huyu muheshimiwa Slaa hana tofauti sana na hayati mwl nyerere. kuanzia mtaza
mo juu ya Taifa na wananchi wake,na pia ni mtu ambae day by day anazidi kukuba
rika katika jamii ya watanzania kwa uthubutu wake wa kuwatetea.

3.Huyu ni mtu wa kwanza ndani ya nchi yetu kuibua ufisadi mkubwa mkubwa ndani ya serikali na chama tawala. Pia huyu ni kiongozi wa kwanza kusema inaweze
kana baadhi ya malighafi za ujenzi kushuka bei hadi elfu 5 ili wananchi wajenge na
kuwa na makazi bora nk.

4.Kwangu mimi muheshimiwa Slaa ni kama mwl nyerere wa Tanzania.
Ana hekima zinazofanana na mwl nyerere na ana busara zinazofanana na
Nelson Mandela wa Republican of South african. So kama kuna uwezekano
tumwite mwalimu badala ya Dr, jina ambalo kwa sasa halina hadhi kwa mtu
kama muheshimiwa Slaa.

My take - Haya ni mawazo yangu tu na silazimishi watu kuyakubali.

Akitokea jinsia ya kike akawa kama slaa naye atafananishwa na Nyerere?
kwa misimamo ya wengi JF basi wote ni akina Nyerere?

ebu acheni huu utoto kila mtu ni kivyake hatuna benchmark!!! Nyerere ana makosa yake na mazuri yake!!! sidhani kama Slaa atakusapoti kwa hili.
 
Napendekeza huyu muheshimiwa aitwe Mwalimu willibrod Peter Slaa. Badala ya
Dr Slaa. Sababu ni hizi zifuatazo -
1.Hili jina la Dr kwa sasa limekuwa halina hadhi wala heshima.Maana watu wana
peana hayo ma Phd ya udoctor hata bila kusomea au kupewa hiyo tuzo pale pana
postahili kupewa. Mtu anajiunga na hivi vyuo vya nje vya ubabaishaji anasoma ku
pitia enternate,baada ya miezi sita au mwaka utasikia nae anaitwa Dr. Yaani imeku
wa mchezo kiasi kwamba hata uswazi mabitozi nyangema wanajihita madr fulani.

2.Huyu muheshimiwa Slaa hana tofauti sana na hayati mwl nyerere. kuanzia mtaza
mo juu ya Taifa na wananchi wake,na pia ni mtu ambae day by day anazidi kukuba
rika katika jamii ya watanzania kwa uthubutu wake wa kuwatetea.

3.Huyu ni mtu wa kwanza ndani ya nchi yetu kuibua ufisadi mkubwa mkubwa ndani ya serikali na chama tawala. Pia huyu ni kiongozi wa kwanza kusema inaweze
kana baadhi ya malighafi za ujenzi kushuka bei hadi elfu 5 ili wananchi wajenge na
kuwa na makazi bora nk.

4.Kwangu mimi muheshimiwa Slaa ni kama mwl nyerere wa Tanzania.
Ana hekima zinazofanana na mwl nyerere na ana busara zinazofanana na
Nelson Mandela wa Republican of South african. So kama kuna uwezekano
tumwite mwalimu badala ya Dr, jina ambalo kwa sasa halina hadhi kwa mtu
kama muheshimiwa Slaa.

My take - Haya ni mawazo yangu tu na silazimishi watu kuyakubali.
Amna kiongozi wa Tanzania unaweza kumfananisha na Mandela kwa busara naona unafika mbali kwa mapenzi. viongozi wenu kila siku tunasikia kauli zao za jazba, matusi pumba tupu.
Mandela the world respected peace maker has received more than 250 Awards, including the 1993 Nobel Peace Prize..
 
Kabla ujasema jaribu kufanya tafiti mbona marais wengi tu wanazo PhD za heshima,
President Museveni Honorary PhD kapewa 20. january 2010
President Obama Honorary PhD kapewa 7. may 2010
President Mahinda Rajapaksa Honorary PhD kapewa 6, feb 2010. Sri Lanka
 
Back
Top Bottom