CDM hailipi mtu, kama kile chama cha magaidi.I wonder how much CHADEMA has paid you to come up with this analysis.
CDM hailipi mtu, kama kile chama cha magaidi.I wonder how much CHADEMA has paid you to come up with this analysis.
Mkuu chakaza ...umeongea ukweli...nafkiri hawa vijana wa CCM wengi wamegeuza siasa ndo ajira yao kuu...sasa wanaona vijana wengine nao ni hivyo hivy....bila kujua sisi wengine tunapenda mabadiliko ili kodi zetu tunazokatwa zifanye kazi iliyokusudiwa....Ukizisoma kwa makini post za hawa Buku7 utagundua kuwa ni watu ambao upeo wao uko chini sana na sio wa kuweza kupewa nafasi ya ajira popote zaidi ya pale Lumumba ambapo ajira inaangaliwa surname yako ni nani. Sasa wao wanafikiri kila mwenye kutetea mabadiliko ni mchovu,hawajui kuwa hao wanaowabeza wengine ni senior officers katika serikali hii hii na ndio ambao kila upuuzi wanaopanga wanaufikisha kwa wapinzani kiasi kwamba hakuna siri inayofichika siku hizi.
ndio uzuri wa magamba bado mpo ktk analogi! Kumbe ni zama za digitali! Weka king'amu utaona bila chenga mwananu!I wonder how much CHADEMA has paid you to come up with this analysis.
Nirudie tena kuwaambia CCM.Huu ni wakati ambao historia ipo kazini.Ni wakati wa mabadiliko toka kwa Mungu.Maumbile yanabadilika.Mafuriko yamekuja.Je,CCM mnaweza kuyazuia mafuriko haya kwa mikono?I wonder when r u gon start using ur mind to think...amka Dada..nyakati za ukombozi ndo hizi...nitajie jambo moja tu ambalo u r proud of ur government..tell me..what???
asante mpuuzi mwenzangu kwa kuchangia topic ya kipuuzi ungekuwa unatumia akili wala usinge changia kwa maana ni ya kupuuzi.
nheee dr. Mo
nimepata habari kwamba vijana wengi wahitimu wa vyuo vikuu waliojiunga ccm akiwemo shonza na mwampamba, waliahidiwa kufutiwa deni la bodi ya mikopo ya elimu ya juu na ikishindikana kufutika watalipiwa!
Kwa hiyo wengi hawaajiriwi na hawaajiriki...
Ukitaka kujua kwa nini, angalia reply na post zao...
Gentlemen degrees...!
I wonder how much CHADEMA has paid you to come up with this analysis.
PISTO LERO,
Ili kuwaepushia watu vifungo (ban) humu ndani ambavyo vinaweza kutokea kwa kuhamasishwa kuvunja sheria ya "Name Calling" au kwa sababu za Kitaaluma kujilinda na mashambulizi dhidi ya Plagiarism ni vema ungemtambua (acknowledge) Mwandishi wa makala uliyoihamisha kutoka Jukwaa la Great Thinkers na kuileta Jukwaa la Siasa.
Makala halisi na Mwandishi wake inapatikana hapa: Kwanini Freeman Mbowe ghafla amekuwa mlengwa No. 1 wa Dola/CCM?
I wonder how much CHADEMA has paid you to come up with this analysis.
Ndugu CHAKAZA, mbona unawasingizia wenzio bwana!
Si kwamba wana upeo mdogo aiseee...
Ni kwamba hawana kabisa...
Sample toka kwa mzee wa PIGA TU ambaye anasemekana ni MWANASHERIA!