Kwa uhuni huu wanaofanya Bayport nadhani wanajiharibia

Kwa uhuni huu wanaofanya Bayport nadhani wanajiharibia

Hawa jamaa walitaka kunifanya uhuni, nilichokifanya niliwachezesha shere hawa ngedere wao hadi wakachanganyikiwa. Baadae nikapeleka Claims zangu B.O.T walivyopigiwa simu jasho liliwatoka. Hawa jamaa sasa hv wako regulated na B.O.T, kwahiyo ukipeleka malalamiko huko wanaogopa Sana!
Kwenda B.O.T ni bonge la wazo.
 
Watumishi wengi wa serikali waliosulubishwa na hawa jamaa kwa sasa hawana hamu nao kabisa! Hata uwaambie nini hawataki kuwasikia maana walishapoteza imani nao kwa sababu ya huo ujanja ujanja wao walioufanya hapo awali.

Chonde chonde kwa walimu wapya! Nendeni benki kama crdb, nmb, nbc, nk. mkakope ili mtimize hizo ndoto zenu! Msikubali kushawishiwa na hizo taasisi za kifedha kwa maneno yao matamu! Nyingi ikiwemo hii iliyotajwa, zina kawaida ya kubambikia wakopaji riba kubwa! Unakopa milioni 1 unakuja kulipa jumla ya milioni 3 hadi na nusu!
 
Mkuu usirogwe uakopa Bayport utalia. Nilishafanya kazi hapo kipindi nimemaliza form six nasubiri kwenda chuo. Ni majanga hao watu ubabaishaji na wizi kwa wateja ndio utaratibu wao.

Makato hata siku moja hawawezi wakakuonyesha ile schedule halisi wanakuwa nazo zile za uongo za kuvuta wateja na baada ya hapo ukishaingia king umeliwa. Ukiopa milioni moja utalipa milioni nne.
 
Hawa nadhani wanaelekea ukingoni.

Hivi CAG hajawaona hawa kenge?
Mkuu usirogwe uakopa Bayport utalia. Nilishafanya kazi hapo kipindi nimemaliza form six nasubiri kwenda chuo. Ni majanga hao watu ubabaishaji na wizi kwa wateja ndio utaratibu wao.

Makato hata siku moja hawawezi wakakuonyesha ile schedule halisi wanakuwa nazo zile za uongo za kuvuta wateja na baada ya hapo ukishaingia king umeliwa. Ukiopa milioni moja utalipa milioni nne.
 
Hiki kikundi nimekifuatilia utendaji kazi wake wa kutoa huduma kwa watumishi wa umma na wasio wa umma, kwa sababu mfanyakazi mpya anapoajiriwa anakosa sifa za kupata huduma ya mkopo kutoka bank, nimegundua kuwa Bayport wanatumia fursa hiyo kupokea maombi ya mikopo kwa kujisifu kwamba wanatoa mikopo yenye riba nafuu, wanakukalisha na kukupigia hesabu ambazo zinaonesha makato yao ni ya kawaida, mziki unakuja pale watakapokuweka kwenye mzani wao, kwanza watakupigia simu kukueleza kwamba kiasi cha mkopo ulichoomba kimeshuka hivyo badala ya kupata mfani million 2, watakupa million 1.8, baada ya hapo ukija kupiga hesabu vizuri, makato yale waliokuandikia wakati wanakipokea kwa tabasamu hayaendani.
Tatizo la pili wana shida kwenye kutoa huduma kwa wale wanaowakata, mfano pale mteja anapoomba balance.
Unaweza ukaomba balance ukakaa miezi Sita hujajibiwa, sasa swali langu Wanakuwa na lengo gani.

Kwa uhuni huu wanaofanya Bayport nadhani wanajiharibia wenyewe, na nashauri ni bora ufe na shida zako kuliko kwenda kuomba mkopo Bayport.
Mm pale siwezi kwenda hata kam watatoa mkopo bila riba
 
Tumepiga kelele sana humu kuhusu kwenda kukopa kwenye vijitasisi visivyojitambua lakini bado kuna watu mnaenda kukopa kama ilivyo kwa mtoa uzi basi kama alivyosema pm pinda muendelee kupigwa tu
 
Tumepiga kelele sana humu kuhusu kwenda kukopa kwenye vijitasisi visivyojitambua lakini bado kuna watu mnaenda kukopa kama ilivyo kwa mtoa uzi basi kama alivyosema pm pinda muendelee kupigwa tu
[emoji23][emoji23] tupigwe tu.
Ila hatuwezi pigwa Mara mbili. Nitaandaa waraka kwa wakolosai wote wasithubutu kukopa kwenye vijitaasisi vya hovyo kama Hivi.
 
Ndugu yngu mambo ya mikopo tu kwanza ni shida sana ukishaingia kwenye circle hiyo haijalishi umekopa wapi kutoka nje ya huo mfumo itakuwa ngumu sana kwako. Ndg pambana uyamalize na ukifanikiwa achana kabisa na hizo mambo ndg ni mtego wenye janga kubwa ndani yake asee
Mkopo hauna tatizo tatizo ni wakopaji kutojitambua. Utakuta mtu kakopa ila hajui affanyie nini cha kumsaidia kurejesha makato au mtu anakopa ili afanye biashara bila kujua changamoto za biashara husika lazima uione dunia chungu hakika
 
Hata mkopaji anaweza asiwe tatizo, mkopeshaji nae anaweza kuwa kichaa, anatumia kutokuelewa kwa wakopaji kupiga pesa.
 
CRDB na NMB asilimia kubwa ndio sehemu salama zaidi ya kukopa achana na hizo taasisi zingine za kifedha utaishi maisha magumu
Nenda NMB wakufanyie mahesabu ya mkopo unaostahili kupata, makato yao na kila kitu, pia nenda CRDB kwa kiasi kilr kile unachokitaka.. Utaona sehemu pekee yenye mkopo nafuu ni NMB peke yake.

Nimethibitisha hilo mwaka jana, watu wanachukua mkopo bila kukaa chini na kuongea na afsa wa mkopo waelewe. Niliona watu ofisini wanasifia sana crdb kwamba wanakata riba ndogo ila nikastudy kote nikakuta hakuna kitu
 
Nakumbuka 2007 nilikopa bayport sh laki 7 haki ya Mungu nililipa karibia milioni 3.

Kuna siku walipigia simu wakaniambia wameniongezea hela laki 2 ya maelezo ambayo hayaelweki na kweli iliwekwa kwenye acount. Haloo makato yalitaradadi...

Mwambie ndugu na rafiki yeyote asithubutu kukopa bayport.

Pia ukimuona mtu anaingia ofcn kwao msaidie tu kumuambia maana hiyo ni kuzimu
 
Harafu sijui wanatoa wapi taarifa washenzi hawa,maana wanakupigia simu wanakueleza hadi mkoa ulipo wanakubembeleza ukope. Nimemtukana mmoja nadhani hata rudia.
 
Mimi katika hii taasisi Nilikopa laki 5 nikarudisha laki 6 kwa muda wa miezi sita wajuvi wa mambo nilipigwa au?

Ilikuwa mwaka juzi.. Na hakukuwa naujanja wowote...

Nilichojifunza kupitia mkopo wangu unahitaji maelezo yakutosha pale unapoenda kukopa sio unakurupuka tu kusain maadam unapata pesa....

Kwa mimi sina Elimu ya mambo ayo uwa naangalia Makato ya mkopo afu nazidisha kwa muda hapo napata jumla ya nichakacholipa afu natoa kile nilichopewa naangalia kama naridhika nacho au la...

Ila wakati mwingine sisi watu tunamambo sana
kuna Rafiki yangu aliendaga kukopa uko ili pesa imsaidie kwenye shughuri ya ndoa yake alichukua kama 2m hivi ambayo tulivyopiga hesabu alitakiwa arudishe kama 3.2m kwa miaka 3
huyu ndio alinifanya nami niende Bayport nikakope kipindi iko ndoa yake ipo Imara nami nikajongea kukopa mi nikafanikiwa kutumia mkopo wangu mpaka kwisha ila jamaa aliuza deni mara baada ya kuitirafiana na Mama watoto wake Hapa ndipo Hila na hii kampuni zikaanza alikuwa haipendi kushinda mtalaka wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila tukitaka kukopa tuangalie sehemu sahihi na jambo sahihi la kufanyia mkopo maana mkopo sio zawadi ni lazima ulipe[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom