Kwa ubabaishaji huu, FastJet wako juu ya sheria?

Tanzania Njema Yaja Mkuu inaelekea ulimpania kweli mgeni...........😀😀😛😛😀😀!!!

Fastjest wakaweka yao ya iyana tupu...😀😀😀😀

Kwa mgeni special.... lazima povu likutoke😀😀!!!
 
Wala mkuu.... mgeni uliye mpania si unamfuata mwenyewe airport mkuu... nisingetuma taxi..... huyu ni mambo ya kazi tu sema wameniboa.....
 
Kuna Bi. Harusi kalia sana jana kachelewa Send Off kalia kwa uchungu sana, Send off ilikuwa inafanyika Mbeya
 
Back
Top Bottom