SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,094
- 75,538
Jero tu,babu alikuwa mjasiriamali mzuri sanaHivi kilikuwa shin'ngapi kikombe??
Jero tu,babu alikuwa mjasiriamali mzuri sanaHivi kilikuwa shin'ngapi kikombe??
Hivi alikuwa anaumwa nini na jee alipona?Hadi mchato aliingizwa King na huyu babu!!!
Yupo amekuwa brazameni anatinga jeans na T-shirt kali kabisa.Ila huyu mzee sijui Yu wapi Sasa !!
Mchato bana haijulikani nini kinamsumbua ila kwa kifupi jamaa ni unfit!!Hivi alikuwa anaumwa nini na jee alipona?
Kumbe, ndiyo maana nikawa najiuliza ni kwa jinsi gani babu aaminiwe na watu wakubwa serikalini kirahisi hivyo.?Wakati ule kulikuwa na maandamano ya nchi nzima iliyoratibiwa na chadema na Dr.Slaa ,ilikuwa mbinu yaTISS kumaliza maandamano ikaanzishwa propaganda ya kwamba mzee anatiba ,watu wakaacha maandamano wakahamia kwenye kikombe