Hahahahahaaaaa!!..........Ewaaaaa.
Sasa pale, wale wahudumu wote wanawake wameshakufa isipokuwa moja tu - anaitwa mama Sadiki kama sikosei, hakuwahi kujua kusoma wala kuandika mpaka leo hii. Dogo amecukua ile bar, ameamua kumstaafisha bibi, amemfungulia genge. na amemwambia awe anakuja kunywa bia mbili kila jumapili. Huyo maza hawezi hata kurudisha chenchi lakini amekuwa mhudumu wa Ruaha Galaxy kwa maisha yake yote...tangu usichana wake mpaka amekuwa bibi.
Namkumbuka sana......akiniona ananiita .......mwanangu siku hizi umeacha kunywa Kilimanjaro..duh....hahahahahaaa!!
....Hivi na ule mjengo uliopo pale kimara sijui ndio wanaita korogwe uande wa kushoto kuelkea Moro unaodaiwa kuwa ndio ilikuwa garage yenyewe bado analimiliki au FBI walipiga stop kutumika tena?
sasa huyo mtu yupo wapi?
The chances are, mzee akiondoka basi he will go with a big chunk of his projects.
Lijamaa linasema likifa, ile garage itajaa watoto wake wa nje........lakini halijawahi kutambulisha watoto wa nje ndani ya familia yake. Linasema limemalizana nao juu kwa juu, kwa maana ya kwamba watoto na amam zao wanajitegemea huko walipo.
Huyo ndo Thomas...ana Mercedes Benz 5 amepark nyumbani na garage zimeshajifia +other cars like 20, zote ame-park na zimeshakufa kwasababu hataki mtu aguse wala hataki kuuza.
hahahahahaaaaa!!..........ewaaaaa.
D
sasa pale, wale wahudumu wote wanawake wameshakufa isipokuwa moja tu - anaitwa mama sadiki kama sikosei, hakuwahi kujua kusoma wala kuandika mpaka leo hii. Dogo amecukua ile bar, ameamua kumstaafisha bibi, amemfungulia genge. Na amemwambia awe anakuja kunywa bia mbili kila jumapili. Huyo maza hawezi hata kurudisha chenchi lakini amekuwa mhudumu wa ruaha galaxy kwa maisha yake yote...tangu usichana wake mpaka amekuwa bibi.
Namkumbuka sana......akiniona ananiita .......mwanangu siku hizi umeacha kunywa kilimanjaro..duh....hahahahahaaa!!
Ana watoto wengi sana.......wakija wote wanaweza kujaa kwenye ile gerage au pale kwenye yard ya trailers alipowakodishi wachina.Thomas hana mtoto mmoja. Waliokuwa wakilelewa pamoja na wa mke wake mdogo ninaowajua mimi walikuwa kumi. Kati ya watoto wake wapo walioendelea na wana nafasi zao nzuri. Hakumdekeza mtoto.
Sijui kwa kweli maana nakumbuka sehemu nyingi sana zenye majina ya kibaguzi ilihali waliobatiza maeneo hayo wakiwa tofauti sana na ukoloni, Mfano Uhindini,na Uzunguni Mbeya, afadhali hata mzee Mwakangale alipata shavu kukumbukwa kwenye uwanja wa nane nane pale RRM Uyole
na Mwanjelwa je...nasikia lilikuwa jina la mtu
Bado yupo maeneo ya kimara ameanzisha chuo cha Ualimu nafikiri kinaitwa Ebonite, yeye darasa la saba ingawa amejiendeleza hadi form IV. Enzi zake mabinti kama wewe ( kama kweli avatar inaendana nawe kwa angalau 75%) walikuwa hawakatizi, jamaa ana strategy kali sana. wengi wa waliokuwa wanamfundisha walikuwa wale watoto wakali toka Chuo na maeneo mengine ya mji. (kumbuka form I hadi form IV alijifunzia ofisini kwake na walimu wote mabinti wakali). Unakuwa umezubaa mara anazuka mpambe wake kuwa kuna mtu anataka twisheni malipo 5,000/= kwa saa hiyo 1990's na kweli unalipwa wewe utaacha kweli kwenda 'kufundisha'.
Pia atakumbukwa kwa kuchangia ujenzi wa nyumba mbali mbali za ibada ( Pande zote), kama kuna harambee enzi hizo kama akipelekewa mwaliko akasema ana udhuru basi harambee yahairishwa!
the chances are, mzee akiondoka basi he will go with a big chunk of his projects.
Lijamaa linasema likifa, ile garage itajaa watoto wake wa nje........lakini halijawahi kutambulisha watoto wa nje ndani ya familia yake. Linasema limemalizana nao juu kwa juu, kwa maana ya kwamba watoto na amam zao wanajitegemea huko walipo.
Huyo ndo thomas...ana mercedes benz 5 amepark nyumbani na garage zimeshajifia +other cars like 20, zote ame-park na zimeshakufa kwasababu hataki mtu aguse wala hataki kuuza.
ana watoto wengi sana.......wakija wote wanaweza kujaa kwenye ile gerage au pale kwenye yard ya trailers alipowakodishi wachina.
Thom mhuni yule....anatafuna hadi mke wa mwanae.....pambafu sana!!
Kwenye RED, Bucha inayotamkwa pale siyo Noah wala mbuzi katoliki bali ni kuwa pale kulikuwa na ajali nyingi sana watu wakichinjwa ni kama vile pale Chang'ombe panavyoitwa machinjioni. Hivyo si busara kuita jina hilo la kimzaha (lakini mzaha wa hatari) ndo maana waka - opt for Thomas kwani jamaa ana gereji kubwa pale, ambayo naona kama kawakodisha wachina kwa sasa.
Kuna hadithi kuwa ajali hizo zilikuwa zinasababishwa na matambiko ya huyo jamaa, ingawa ukweli ni kuwa tatizo lilikuwa ule mteremko mkali lkn binadamu wakazusha kama kawaida yao.
Mkuu bucha inayotajwa ni ya noah aka kitimoto. Ilikua opposite kabisa na lile jengo la garage la thomas lyimo.mwenye bucha aliweka bango lake karibu na barabara likiwa limechorwa ngurue mweupe na maandishi 'pork butcher'. Bucha na bango vilibomolewa wakati zinajengwa barabara mbili. Miaka ya nyuma kituo kilikua baruti na korogwe tu. Pale palikua kushuka kwa kuomba msaada tu.watu walikua wakisema msaada bucha.fika pale uliza wenyeji pale maeneo ya wafalme bar watakuambia.mi mdau maeneo hayo toka 1984
katafuna dadake nnmkewamwanae??akaza naemtoto bwabwa anaitwa denis mpangomzima ukibip anakuja fasta .. Sosad nayuledadake akaparalaizi upandemmoja mpakakesho ukimwona. Tom ayukosawa nwdays
na Mwanjelwa je...nasikia lilikuwa jina la mtu
Dennis anaishi huku kwetu sa hivi
uko sahihi sana kaka, mi nmezaliwa bucha na nmekulia bucha huyo jamaa anatoa historia za vijiweni