Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Kuna story nyingi kama ya bwana Mussa Hassan wa Msasani ambaye baada ya jina lake kuwa gumu ikabidi lifupishwe Msa'asan. Wwngine wananiambia kuna watu fulani walikuwa wanaishi somewhere Kinondoni ambapo kulikuwa na kutokuelewana fulani kwa namna ya kulogana, sasa mtu mmoja ambaye alikuwa ni mwoga sana wa ulozi kila mwanae akilia alikuwa anambembeleza kwa kumwambia Mwana Nyamala(nyamaza) Lile eneo leo ni Mwananyamala....
Mwananyamala ni sababu ya SIMBA aliyekuwa anapenda kukaa eneo ilipo mwananyamala ya sasa. Iko siku Mama mmoja na mwanawe mchanga walikuwa wanavuka kile kijito kwenda Ubungo ndipo Simba akanguruma na mtoto yule mchanga akawa analia sana. Mamaye alimbembeleza Mwananyamala mapaka Simba alipomchukua huyo mama na watu waliosikia kilio chake usiku ule wahaita mahala pale JINA HILO!
Ni kweli Thomasi Lyimo alikuwa mmiliki wa garage kubwa maeneo hayo na alihusishwa na ulipuaji wa bomu katika ubalozi wa Marekani nchini Tanzania mwaka 1998. Makachero wa FBI walibaini Kuwa mabomu Yale yalichomelewa ndani ya karakana yake. Aliwahi pia Kuwa na program za kusaidia ujenzi wa uzio katika shule za Dar hasa baada ya tukio la Fundi Cherehani Maumba kulawiti watoto lukuki wa shule za msingi maeneo ya Kisutu na mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi mashuleni.
Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
Mwambie umekuja na mbio za mwenge sasa katika kusha shanga ukajikuta umeachwaMi nimekuja na mafuriko ya Katrina, kipindi cha vuguvugu la yebo yebo
sasa huyo mtu yupo wapi?
Ni mmiliki wa garage hiyo mpaka leo.Ni kweli Thomasi Lyimo alikuwa mmiliki wa garage kubwa maeneo hayo na alihusishwa na ulipuaji wa bomu katika ubalozi wa Marekani nchini Tanzania mwaka 1998. Makachero wa FBI walibaini Kuwa mabomu Yale yalichomelewa ndani ya karakana yake. Aliwahi pia Kuwa na program za kusaidia ujenzi wa uzio katika shule za Dar hasa baada ya tukio la Fundi Cherehani Maumba kulawiti watoto lukuki wa shule za msingi maeneo ya Kisutu na mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi mashuleni.
Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
Ni mmiliki wa garage hiyo mpaka leo.
1) ame cut down operations za garage, na amefunga kiwanda cha maziwa.(kiwanda kipo, mashine zipo, na ana ng'ombe wengi sana Ilula Iringa)...uzee nao unachangia.
2) Ame diversify biashara zake - waswahili wamezoea ukiuza ubuyu, basi, hiyohiyo mpaka unakufa.
3) Ana series of restaurants kariakoo na maeneo mengine..fast food za kawaida sana. (huwezi kuamini kwamba mtu aliyekuwa antengeneza tanker kwa 200m anaweza kuuza mandazi). Huo ndio UJASIRIAMALI.
4) Ana chuo cha ualimu - Ebonite Teachers College (Kimara Bucha - NOW Kimara kwa Thomasi)
5) Ana shamba kubwa la ng'ombe huko Ilula Iringa.
Kimsingi, Thomas is an entrepreneur mzuri sana, bahati mbaya naona amekosa mtoto mwenye akili ya kumrithisha.
litoto lake moja linakamata viroba mwanzo mwisho...linagongwa na magari tu kila siku.
NOTE: Kimara Bucha imetokana na bucha iliyokuwa pale upande wa pili wa barabara (opposite his garage). bucha ilikuwa ya Thomasi pia.
need I say more?
Mkuu sijui kama unakumbu kumbu unikumbushe kisa cha Mwembejini - Kinondoni makaburini, Mwembe Yanga, Mwembe Chai, Kiembe samaki, Kiembe mbuzi na miembe saba - Kibaha!
Umenena vema mkuu. Sasa utamsaidiaje kuhusu hilo toto ili lijirekebeshe ili liweze ku run miradi ya baba yake isife kama ikitokea baba "akapumzika" maana si familia tu inayonufaika na miradi ya mzee Thomas maana ametoa ajira kwa watu wengi ambao maisha yao yanategemea kuwepo kwa miradi yake. Miradi ikifa maana yake ni kuwa ajira zinapoteaNi mmiliki wa garage hiyo mpaka leo.
1) ame cut down operations za garage, na amefunga kiwanda cha maziwa.(kiwanda kipo, mashine zipo, na ana ng'ombe wengi sana Ilula Iringa)...uzee nao unachangia.
2) Ame diversify biashara zake - waswahili wamezoea ukiuza ubuyu, basi, hiyohiyo mpaka unakufa.
3) Ana series of restaurants kariakoo na maeneo mengine..fast food za kawaida sana. (huwezi kuamini kwamba mtu aliyekuwa antengeneza tanker kwa 200m anaweza kuuza mandazi). Huo ndio UJASIRIAMALI.
4) Ana chuo cha ualimu - Ebonite Teachers College (Kimara Bucha - NOW Kimara kwa Thomasi)
5) Ana shamba kubwa la ng'ombe huko Ilula Iringa.
Kimsingi, Thomas is an entrepreneur mzuri sana, bahati mbaya naona amekosa mtoto mwenye akili ya kumrithisha.
litoto lake moja linakamata viroba mwanzo mwisho...linagongwa na magari tu kila siku.
NOTE: Kimara Bucha imetokana na bucha iliyokuwa pale upande wa pili wa barabara (opposite his garage). bucha ilikuwa ya Thomasi pia.
need I say more?
Ni kweli Thomasi Lyimo alikuwa mmiliki wa garage kubwa maeneo hayo na alihusishwa na ulipuaji wa bomu katika ubalozi wa Marekani nchini Tanzania mwaka 1998. Makachero wa FBI walibaini Kuwa mabomu Yale yalichomelewa ndani ya karakana yake. Aliwahi pia Kuwa na program za kusaidia ujenzi wa uzio katika shule za Dar hasa baada ya tukio la Fundi Cherehani Maumba kulawiti watoto lukuki wa shule za msingi maeneo ya Kisutu na mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi mashuleni.
Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
Mkuu sijui kama unakumbu kumbu unikumbushe kisa cha Mwembejini - Kinondoni makaburini, Mwembe Yanga, Mwembe Chai, Kiembe samaki, Kiembe mbuzi na miembe saba - Kibaha!
we mgeni dar? Inasemekana Ni kweli alihusishwa sababu alichonga kasha(bila kujua!)lililobeba bomu. Lakini pia inasemekana swalatano walikataa pale kuitwa bucha sababu bucha inayoitwa/tamkwa pale ni bucha kubwa na maarufu ya kitimoto. Ni bora akumbukwe Thomas Lyimo kuliko kitimoto!