Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,214
- 42,086
Kwa Tamko hili ni wazi nao TAWA kama walivyo Watanzania nao wanashangaa kuona hiyo Clip hivyo wanafanya uchunguzi kuona na walitoa kibali au hawakutoa kibali!
Hizi aibu ni Tanzania pekee unaweza kuzikuta!
Hivi kweli TAWA walishindwa kuchunguza wakaja na Tamko linalooonesha kuwa huu uwindaji ulikuwa halali au lah?
Hizi aibu ni Tanzania pekee unaweza kuzikuta!
Hivi kweli TAWA walishindwa kuchunguza wakaja na Tamko linalooonesha kuwa huu uwindaji ulikuwa halali au lah?