Kwa Tabia hii nimemchoka mke wangu

Kwa Tabia hii nimemchoka mke wangu

Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini

wewe hauko kwenye ndoa ukishaoa tayari unakuwa mkubwa ni mtu wa kushauri na kuelekeza! sasa ndo unataka wakubwa wakushauri
 
Wengine wanatafuta wake zao waishi vizuri na wakwe zao wengine wanaona kero, kosa kubwa ni wewe kukaa karibu na kwenu ili hali mkeo hana kazi hiyo ni faulo mbaya sana ulicheza. Leo wanapatana sana na kesho wanaweza kugombana vibaya sana.

Kama umepanga tafadhali hama ulipo,kama umejenga please mtafutie mama ubize mpe kazi za uzalishaji akiwa bize itakuwa ngumu kuzurura,hata huko uendako hakikisha mkeo unampatia shughuli.

Inaonekana mkeo ana muda sana anakuwa hana la kufanya tena mshukuru Mungu sana anaenda hata kushinda kwenu inapunguza michepuko la sivyo ungelia zaidi ya hili unaloliona kero. Hima fanya mkeo naye achangie pato la familia.
 
Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini

mwenye makosa ni wewe mkuu si mtafutie shughuli ya kumkeep busy? unamwachaje mke anakuwa kama kuku wa kienyeji badala ya kutafuta kitu kitakachoongeza thamani katika familia yako? wewe ndo chanzo. inaoneka hata wewe umeshamchoka maana hata habari za zawadi you talk about your kids only and not your wife!!!
 
Bora na wewe useme!!!! Zawadi ni za kids tu kwanini asipoze machungu kwa wakweze!?? Huyo mke asipokuwa na shughuli utahama hadi mji itakuwa ni kazi bure hataacha ng'o!!!!!!!!!!! mke mtu wa watu hawezi kushinda siku nzima bila kuona watu nje,halafu inaelekea ni charming sana, mtumie vizuri kwa biashara utaona matunda yake.
 
atakuwa anachoka kukaa ndani tu bila issue yoyote anaona bora aende huko akapige stori. Si bora anaenda sehemu safe kama huyo mwingine ungekuta anaenda mchepukoni au full kwa mashosti. Hata ingekuwa wewe ungechoka kukaa ndani tu. Mfungulie biashara!
 
Bora na wewe useme!!!! Zawadi ni za kids tu kwanini asipoze machungu kwa wakweze!?? Huyo mke asipokuwa na shughuli utahama hadi mji itakuwa ni kazi bure hataacha ng'o!!!!!!!!!!! mke mtu wa watu hawezi kushinda siku nzima bila kuona watu nje,halafu inaelekea ni charming sana, mtumie vizuri kwa biashara utaona matunda yake.

yani huyu ana resource mhm kama mke angeweza mtumia izui kabisa kwa miradi akasimami. Ningekuwa ni mimi hata nisingeandika uzi kama huu. maana mwanaume ni kichwa cha nyumba na huyu ndugu anawajibika kumwelekeza na kumshauri mke nn cha kufanya.
 
Act as a father bhana toa TAMKO zito anakujaribu huyo.
kauli ambayo yeye ataitafakari

au hama mtaa otherwise atakuwa na tabia za kimbea huyo

nashindwa kuelewa anenda kuongea nini huku kwa wifi na mama?
nachukia sana hiyo tabia may be cos na mimi ciendi kwa watu or kwandugu bila sababu malalum

Naomba nijibu signature yako!

Unaingiza ingiza mpaka upate inayofit kufungua.
 
Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini

Kuwa baba ni pamoja na kuweza kujitegemea, na hii ni pamoja na kufuata mistari ya biblia ya kuwa "Mtawaacha baba na mama zenu na kwenda kuwa kuwa kitu kimoja".

Sasa wewe umeoa, unaishi nyumbani bado unategemea nini? Hii ya kukaa nyumbani ni kutojiamini kwamba peke yako unaweza, unakaa home (jirani na home) ukiwaza eti siku chochote kikitokea uwe na msaada wa karibu.

Haya ndiyo madhara yake sasa, bora hata hivyo wanaongea, wanaelewana, ingetokea wasielewane ungekuwa na wakati mgumu zaidi. Na kitu kizuri cha kufanya ni kuhama hapo nyumbani (jirani na nyumbani) kabla upepo haujabadirika, na wala usimwambie kwa nini mnahama isije akasema nyumbani ukaonekana mbaya.

Pia ungeweza kumtafutia kitu cha kufanya kwa sababu akiwa idle automatically atakuwa anakuwa bored kukaa peke yake. Hivyo unatakiwa umpe mradi ambao na yeye atakuwa anarudi jioni amechoka, akifika anafanya kazi za home siku imeisha.
 
Hamia mbali na hapo, mitaa ya mageti tupu, ukigonga wanakushangaaa, mbezibeach huko, atanyooka tu na culture ya uzururaji itamuisha. Kila mtu na geti lake. Ukikaa uswahilini kwetu mihuu inawasha, unakosa UBUYU WA OMAN (UMBEA) Nani kadinywa na nani? Kapewa nini? Nani kafungashiwa virago msimu huu, nani anacheza ligi kombe la mbuzi, huwezi kutulia ndani.

Na anabahati anapatana na hao mawifi, kila cku kiguu na njia kupiga ngebe.Wengine hawataki ata kuwaskia.
 
Kitu kimoja,

Napenda kwetu ila nisingependa kukaa karibu na nyumbani kama nimeoa,nakushauri hama hapo ulipopanga sasa hivi uhamie mbali na mazingira aliyoyazoea.

Cha pili ni muite halafu mkalishe chini umueleze kuwa huridhishwi na hiyo tabia.

Mkeo hana kazi ya kufanya??( kama hana at least umiza kichwa umtaftie kitu ambacho kitamuweka busy mchana kutwa asahau umbea au mpe majukumu ambayo unaona yatamfanya apoteze muda siku nzima nyumbani)

hayo tu ndugu yangu.
 
Mi huwa najua baba ndo kichwa cha familia inakuwaje unashindwa kumuonya mkeo juu ya hiyo tabia usiyoipenda? Man up!! Ikibidi mpe kelbu moja !
 
Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini

Option ninazo ziona ni :-
1. Anzisheni biashara karibu na nyumbani na yeye ndo aifanye/Awe msimamizi
2.Kuhama mbali kidogo kuepusha maneno maneno yasiyo na msingi.
3.Kuongea nae kwa kina sababu kuu inayomfanya aende kushinda huko tena na watoto( yawezekana anaboreka home) then kuipatia ufumbuzi.
4.Kumweleza kwa kina yooooteeeeee namna unavyokereka kama uliyotueleza sisi.
Naamini ataelewa tu

Nawasilisha
 
una tatizo ambalo wanaume wengi wanalo bila wao kujijua HUYO MKEO MFANYE RAFIKI NA SI MKE TU Awe zaidi ya mke jaribuni kuangalia vitu mnavyopenda kwa pamoja hiyo itasaidia kufanya muww marafiki na atakua anatamani kukuona kila saa hivyo atashinda home
 
Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini

Lipi afadhali kwako, kusikia anashinda kwenu au akitembeze? Mshukuru MUNGU kwa huyo mke ulienae.
 
Wivu tu huna lolote.

Unataka tukushauri nini sasa na mke ni wako? kama mpaka mmezaa tena "watoto" na si mtoto na umeshindwa kufundishana na mkeo namna ya kuishi pamoja kwa maelewano, nakushauri watafute wanaume wenzio wakufundishie huyo mkeo namna ya kuishi na mume, inaonesha kwako "kazi imekuwa kazi kuliko kazi yenyewe" (Juma Bhalo).

Msione vinaelea, vimeundwa.
 
Back
Top Bottom