Kwa Tabia hii nimemchoka mke wangu

Kwa Tabia hii nimemchoka mke wangu

Tatizo la kuoa mwanamke asiye jishughulisha, yani almaarufu kama "mama wa nyumbani".
 
kama mama yeyoo naenda kwa wasasi yako nini mbaya si ni asafali iyo, je ngekuwa naenda kwa wasasi yake wewe nasemaje..acha wifu mbaya shee.
 
Siku akiwa anaenda kwa vibuzi uusilalamike.

Ila kurudi home afu hukuti watu ni janga, ningeshambalasa.
 
Mi nahisi kuna vijisababu ambavyo vinamfanya mkeo azurure kwenye vijumba, jaribu kuchunguza na uanzie hapo kumkanya, labda anapenda stories na mashost, anapenda kuangalia muv fulan na kwako hamna, au mazingra ya hom kwako hayajamuhamasisha ashinde home kila mda! So ukigundua hlo utajua namna ya kumsaidia
 
Yaan anapenda kushinda ukwenii hii kaliii aisee wakati watu hua wanaogopa ukwenii kama ukomaa
 
Kuwa mwanaume, mpige biti ambalo kila siku atakuwa anakukimbia
 
Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini

Kizuri kula na wenzio
 
Ni tatizo kaka...ila usiache mke kwa tatizo hili...kama unaweza angalia uwezekano wa kuhama ilo eneo...kama haiwezekani...ongeza mke halafu wote waweke nyumba moja ikesha wape condition zako....atakaa tu uyo nyumbani chezea uke wenza weyee!
 
Ebana mim sio mtabiri.Lakin jamaa umeoa mzaramo,mama wa nyumbani,mvivu wa kazi na mwingi wa maneno.Dawa yake mwambie naoa mke wa pili atakayekuwa anakaa nyumbani.
 
Mmeshapata watoto maana inaweza kuwa anaonda kujaribu kutunza mahusiano na ndugu zako kwa sababu wewe huonyeshi dalili njema. Maana kuliko baadaye aambiwe anajaza choo bila lolote anatanguliza ubuyu mapema
 
Back
Top Bottom