Kwa Tabia hii nimemchoka mke wangu

Kwa Tabia hii nimemchoka mke wangu

Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini

Tafuta mchepuko badala yake utaona kama anakaa sana nyumbani yaani kama anakuletea giza. Utatamani akaa hata mwaka huko.
Lakini kabla ya kufanya hivyo hakikisha unakielewa hiki kitabu vizuri.
View attachment 151076
 
Mi nafikiri wanaume wengi mnafurahi wake zenu wakiwa karibu na ndugu zenu (mama mkwe + wifis). Kuna watu tokea walipotambulishwa ukweni siku ya kwanza hawajawahi kurudi tena.
Mtafutie mkeo kazi ya kufanya, au biashara im-keep busy badala ya kuzurula na kupiga umbea
 
mwambie aache....
uswazi.jpg

Tyta, hii slum ya wapi?? i wanna go there..
 
Last edited by a moderator:
Tuache hzo so kila kitu cha kinyumba mlete humu inachefua..

Maliza tu we si ndo mwanaume.
 
Hamia sehemu ambayo ni mbali na wazazi wako,akiendekeza hiyo tabia ujue atakuwa anafuata dudushele huko
 
Mi hata simlaumu mkeo. Kuzurura na kukaa nyumbani vyote ni vipaji aisee. Mkeo anakuwa bored, shirikianeni kutafuta shughuli ya kutumia muda wake. Halafu shukuru anaenda kwa mamako. Hata mkihamia masaki kama hana kazi ataenda hata mlimani city au atakaa nje ya geti.
 
eeeeeh? Jamani pole. Itabidi tu uende ukacheki.

Malaria Haikubaliki🙂

I will, I have tried some water-therapy imenisidia at least I woke up today the back pain is gone na mabega yako poa. How is you??
 
Mtafutie mtaji afanye biashara huyo hana kazi ya kufanya ndio maana kaamua kujiajiri. Kuna binadamu hawajielewi mpaka kero.Be a man kuwa na sauti bwanaa!
 
Anakuzuga tu huyu anapima upepo ili atakapoanza kuchepuka ujue ndo kawaida yake kwenda kwa wifi na mama mkwe!

Chunga sana..
 
Back
Top Bottom