Nasema haiwezekani kabisa kutuaminisha elimu itakuwa BORA kama hali yenyewe ndo hii.
Mwalimu mkuu mmoja unampa laki sita eti ndo mgao wa kuendesha shule; Nanukuu kutoka gazeti la Mtanzania,
'Awamu ya kwanza ya January mwaka huu shule yangu imepokea sh 600,000, kiasi hicho hakitoweza kukidhi mahitaji ya shule yenye jumla wanafunzi 1,255 kuanzia shule ya awali hadi darasa la saba',
Maanake kila mwanafunzi anapata sh 478, hata kama ni kwa kuanzia hiki ni kiasi kidogo sana.
Hii kwa kweli itaendelea kudidimiza elimu yetu tusipowekeza kwa uhalisia, maana haya inaonekana hayakufanyiwa utafiti kwanza, ni wanasiasa walikurupuka tu!