health is to eat what u don't like.mkuu hivi vitu ni vizuri lakini huwa wengi hatuna mazowea kama tikiti maji huwa nawaona machina basi na hii ramba ramba kwa watoto na makadada zetu ndio hupenda sana basi na ukipata muda tuletee kila aina ya vikali au mfano wa chibuku maana sisi medume ndio hoob yetu na bei zake usiweke fanya siri kama mtungi wa maji isipokuwa kata thank you brother