assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.
Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.
Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.
Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.
Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.
Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.