Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,813
- 24,460
Fortunately sisi tuna CCM na Kikwete. Niliwahi kumsikia Kikwete akitoa excuse kuwa ni rahisi kwa Rwanda kuendelea kwa sababu ni nchi ndogo kuliko Tanzania kulingana na ukubwa wake. Akasahau kuwa China na marekani ni ma-nchi kubwa sana lakini yameendelea!!
