Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,261
Habari zenu wakuu,
Wale wenzangu ambao hatunywi Pombe naomba mnisaidie kunitajia vinywaji ambavyo huwa mnakunywa mkiwa mmetoka (out) natamani Sana kutoka kwenda sehemu za starehe maarufu ila nikifikiria kinywaji nitakachoenda Kunywa huwa nakata tamaa kabisaaa nakugairi kutoka!
NB: sitaki Kunywa soda, wala sitaki Kunywa bia Au kilevi chochote.
Nawasilisha!