Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Nadhani si ujinga ni yale ya kishetaniHahaha. Nimewaza ujinga hapa.
Nadhani si ujinga ni yale ya kishetaniHahaha. Nimewaza ujinga hapa.
Kabisa..Nadhani si ujinga ni yale ya kishetani
Wengi mmeisapoti baltika...... Ngoja niinywe kwanza nikiwa home
Alta Wine ina elements Za Kilevi.Maana ukinywa kichwa Huwa kinachangamka japo haijaandikwa Alcohol yeyoteKunywa Bavaria au alta whine
Alcohol 18 sio Kali?Sio kali..
Ina percent ndogo sanaAlta Wine ina elements Za Kilevi.Maana ukinywa kichwa Huwa kinachangamka japo haijaandikwa Alcohol yeyote
Wenye vichwa vibovu inawazoaIna percent ndogo sana