Kwa sisi ambao hatutumii vinywaji vilevi

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,504
2,260
Habari zenu wakuu,

Wale wenzangu ambao hatunywi Pombe naomba mnisaidie kunitajia vinywaji ambavyo huwa mnakunywa mkiwa mmetoka (out) natamani Sana kutoka kwenda sehemu za starehe maarufu ila nikifikiria kinywaji nitakachoenda Kunywa huwa nakata tamaa kabisaaa nakugairi kutoka!

NB: sitaki Kunywa soda, wala sitaki Kunywa bia Au kilevi chochote.


Nawasilisha!
 
Really u ghairi kutoka kwa sababu hunywi.hebu jiamini.agiza maji yako ya baridi na mishkaki pembeni.unanikimbusha kuna siku nilitoka na ma Shost wangu.tukajiagizishia soda.kuna mtu pembeni yetu akatuuliza kama tunaumwa.au mtu huna uwezo kumbe ni maamuzi ya mtu. Jiamini hayo maji yanatosha
 
Nenda kiwanja agiza nyama choma, soda baridi na maji utawafunika Wanaokunywa mabia machungu kama dawa za mitishamba
 
Ahsanteni jamani kwa Mawazo hayo! Hapo nishindwe Mie sasa.......
Ila mngeniwekea na ka picha kakusapoti
 
Nenda kiwanja agiza tonic,mwambie akuwekee barafu pemben,agiza msos,au laa chkua baltika ,vaa vzur pendeza,funguo za gar unaweka mezani,hahahah,..na masimu mawil mawil,..ndo navyofanyaga mim,ingawa mi nakunywaga baltika sana,na hua napewa heshima yangu kwa kuwekewa ice cubes,hahah,..no, alcohol here
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom