Kwa shida na raha

Kwa shida na raha

pic26561.jpg

Dizaini hii huwa ndoa zao zinadumu na upendo wa kufa mtu.. Hakuna kamati za kipigaji hapo
 
Dizaini hii huwa ndoa zao zinadumu na upendo wa kufa mtu.. Hakuna kamati za kipigaji hapo
Gauni la bibi harusi ni kubwa kidogo inawezekana lilikodishwa kanisani kwa masister hakuna kuongeza wala kupunguzwa.
 
Gauni la bibi harusi ni kubwa kidogo inawezekana lilikodishwa kanisani kwa masister hakuna kuongeza wala kupunguzwa.

Niliwahi kuishi mji mmoja unaitwa ndanda huko gauni na suti zote zinatoka misheni pamoja na mchele mafuta ya kula na maharage ya kutosha sherehe. mkiwa na bahati baba mchungaji wa kizungu anakuja kula wali na maharage
 
Back
Top Bottom