Kwa rasimu hii, CCM inakufa


You should have gone to specsavers, CCM chama cha weledi, kwa taarifa yako rasimu hii ni kuwakaanga Mi-Chadema kwa mafuta yao, Leo CCM imezaliwa upya na imeonyesha kukomaa kwake kisiasa.
 

Bora asingesema kuwa "Rasimu ya Katiba itapatikana kwenye tovuti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya www.katiba.go.tz" unless alikuwa na uhakika kuwa tayari ilikuwa pale.
 

kichwa chako na wewe hakiko sawa kifo cha ccm kipo wapi kwani ccm ndiyo wanasera ya majimbo? rasmu imepiga marufuku sera ya majimbo ambayo ni sera ya chadema lakini kunawatu walionyimwa uhuru ndani ya chadema watagombea nafasi binafsi mfano zito,shibuda na wengine halafu maadili ya ya viongozi wa chadema wote hawana maadili hiki nacho ni kitanzi kwao na sijui nani atagombea bara,zanzibar,na shirikisho.kwazi kwao.
 
Kitakachotokea sasa ni kwamba wale watu ambao wana mitandao yao binafsi wakishindwa CCM, au wasiporidhika na utendaji wa CCM, sasa watagombea kama wagombea binafsi na kuishia kugawa kura za upinzani.
Yaani waondolewe CCM kwa kuonewa then wagawe kura za upinzani how!. Imagine Lowassa afanyiwe mizengwe halafu agombee kama mgombea binafsi unategemea kura za CCM zitabaki zilezile.
 
Mkuu, ina maana tume haikupendekeza independent candidate kwa chaguzi zote? Mbona Manyerere Jackton ameonyesha kama mapendekezo yako mpaka vitongoji.
 

Ndo naingia jf nakuta comment hii hapa. Nimeipenda. Napitia nyingine pia na natamani nione rasm hiyo.
 
Chama kina utaratibu wa kukua na kubadilisha mifumo yake inayotumika katika kujiendesha lakini kwa sasa pamoja na kele zote hizi za upinzani bado CCM ni imara labda huko baadae.

mkuu upinzani ndiyo basi pengine wajipange baada ya miaka kumi ijayo tena.
 

CCM siyo wajinga wa kujimaliza kirahisi hivyo. They know what they are doing. Kama unapima upepo wa ushabiki wa watu kwenye katiba haina tatizo. Naamini kabisa CCM watakuwa wamefanyia kazi 'Scenarios' zote ambazo wewe unaona zinaweza kuwamaliza na kubuni mbinu za kuikinga. Kama mwandishi ulitakiwa kutafikiti kwa nini CCM wameamua vile na madhara yake wamejipangaje kuyakabili?

Hivi unafikiri kuachia dola ni kazi rahisi sana, tena Afrikaaaaaaaaaa?
 
Lowassa, Membe, Mwakyembe, Magufuli, Sitta, Sumaye wote ndani ya kinyang'anyiro hata bila kupitia mwavuli wa CCM.
 
Hebu tuombe radhi kwanza kabla hujajibu maswali nyangu machache.......

Sera ya serikali 3 ni sera ya chama gani?

hoja ya mgombea binafsi muhasisi ni nani na ninani amekuwa akiipinga kwa nguvu zote mpaka kuitisha Court of appeal full bench?

Ni Ilani ya chama gani Tanzania ambayo ilani yake iliahidi Mahakama ya kadhi? je ahadi hiyo ilitekelezwa? na kama haijatekelezwa kwenye rasimu ya katiba mpya ipo Mahakama ya kadhi? je CCM ina gutts za kuomba kura za waislamu mwaka 2015? wait n see.
 
Yaani waondolewe CCM kwa kuonewa then wagawe kura za upinzani how!. Imagine Lowassa afanyiwe mizengwe halafu agombee kama mgombea binafsi unategemea kura za CCM zitabaki zilezile.

hizo ni ndoto za mchana kwani lowasa ni nani,lowasa ni maarufu ndani ya ccm na akitoka nje siyo maarufu tena asikudanganye kuwa yeye ni maarufu nje ya ccm huko ni kujifariji tu.
 
Mleta mada mwenyewe kaileta kinafiki tu na ndiyo anapata mashambulizi, badala aongelee rasmu yenyewe anaanza kutaja vyama, mbona hakusema rasimu hiyo itakifufua chama gani kama itaua CCM.

Mkuu, pamoja na ushabiki wa kivyama, ni ukweli usiopingika kuwa, CCM kama chama tawala kimekuwa mstari wa mbele kupinga wagombea binafsi. Rejea kesi ya Mch. Mtikila dhidi ya Mwanasheria mkuu wa serikali ya TZ, na hukumu yake na nini kilifuatia kuhusu utekelezaji wa hukumu hiyo? Ndiyo maana huyu bwana pamoja na mambo mengine ya rasimu ya katiba amekuja na mada hiyo ambayo kwake ameona ni ya muhimu. Sasa iwapo kwako si ya muhimu basi achana nayo, siyo lazima kuchangia kwa sababu tu ya ushabiki wa kisiasa.
 

Jackton

Habari za tangu Dodoma? Naomba nikwambie kitu kimoja tu "the devil lies in the details".

Lakini pia, CCM kama chama cha siasa kimeshakufa.

Natumaini utakuwa umenielewa...
 
Wewe nawe unajifanya Mwandishi lakini uandishi wako uko shallow kupita maelezo.

Nyie ndio maripota wa matukio halafu mnajiita wandishi.

Na wewe si utoe maoni kuhusu hicho alichokileta? Au kwa sababu ni mwandish ulitaka alete makala kuubwa ya rasimu yote,acha hizo chuki binafs toa maon kwa hicho alicholeta baaasi,hayo ya uandish tafuta gazet lake usome!
 
Bora asingesema kuwa "Rasimu ya Katiba itapatikana kwenye tovuti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya www.katiba.go.tz" unless alikuwa na uhakika kuwa tayari ilikuwa pale.
Kwa lugha ya kisheria Mzee Warioba amedanganya!!.

Inawezekana alipata briefing kama rasimu iko live and kicking kumbe hata hawajaiweka. Kama unavyojua wazee wetu wala wahajishughulishi na IT, na kwa sababu hii wala hakuhakiki kuona kama inafanya kazi.

Acha tusubiri.
 
Jacton lete issue zote tuzidiscuss sasa wewe umeleta moja tuu na kuitolea tamati.
Usikute kuna kipengele kinasema usiwe ulishawaikuwa mwanachama wa chama chochote au kushika nyazifa serikalini!
 

kwa hiyo wewe unataka kutuambia kuwa ccm walipaswa kuilazimisha tume kufuata matakwa ya ccm au ilikuwa ni tume huru na huu uhuru siimepewa na serikali ya ccm,au umelala usingizia au wewe na chama chako utaomba kura kwa kushinikiza mahakama ya kazi acha kupandikiza udini hutaweza kupotosha watu wanaakili zao.
 
CCM sio kwamba wamependa iwe hivyo wamelazimika wakubali yaishe, Waryoba hakuwa rahisi kuyumbishwa kama mlivyotegemea.
 
Umeongea pointi nzuri sana. Nasikia huyu ni mwandishi wa habari? Ni kweli? Kama ni kweli basi kazi tunayo Watanzania, kuwa na wanahabar wa upeo wa huyu...

Yeye kaleta mjadala kuhus hicho kipengele kimoja tu cha mgombea binafs nyie mlitaka aandike nini? Kwa sabab hapa ni kwenye jukwaa la mijadala,yeye ana option ya kuleta makala au short and clear kama alivyofanya sasa? Au mlitaka aandike makala jamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…