Kwa rasimu hii, CCM inakufa

Kwa rasimu hii, CCM inakufa

Usitafute huruma hapa! Jadili hoja. Nimesema kwa rasimu hii, kama tutapata Katiba mpya kwa mapendekezo yaliyomo, CCM itakuwa inakabiliwa na kifo. Kama una maoni tofauti, yaweke hapa. kashfa na vijembe si mambo ya waungwana.

Mabadiliko makubwa yanayofanyika sasa yanaweza pia kuikoa CCM. CCM itakuwa na fursa ya kujipanga upya badala ya kila siku kufanya siasa za kushindana na upepo wa mageuzi.
 
Mkuu niko peke yangu na laptop yangu lakini nimecheka sana.
Anaambiwa halafu anaanza kutukana watu. Hivi inakuwaje mwandishi wa habari we kila thread yako ni mistari miwili ikizidi mitatu. Ndani hamna kitu.
 
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.

Sijui wengine mna mtazamo gani.
Tatizo lako umekaa kichama zaidi sema hivi kwa katiba vyama vya siasa vyote vinachangamoto make mtu ataweza kujitathimini akiona anapendwa atakwenda kugombea yeye kama yeye kama yeye bila kutegemea chama.
 
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.

Sijui wengine mna mtazamo gani.
Sijaona point yako hapa. Tanzania ina zaidi ya vyama vya siasa vilivyopata usajiri wa kudumu zaidi ya 17. Hao watu ambao hawakutaka kuchomoka na walikaa humo CCM wakati hawapendi yanayoendelea kwangu ninawaona ni WANAFIKI na wanatanguliza MATUMBO YAO.

Hawa hawakutaka kwenda kwenye vyama vingine kwa sababu hawakuwa na uhakika wa kuteuliwa kuwa wagombea ili waendelee/wapate ajira na siyo kuwatetea wananchi. kilichofanyika kwa sasa ni wao kusaidiwa na katiba kujiteuwa wenyewe na kugombea wenyewe badala ya kuteuliwa na genge au viongozi wa chama.

Utasema hawakujiunga kwa sababu ya itikadi lakini huwezi kuniambia katika vyama 17 hawakuweza kupata hata kimoja chenye itikadi wanazozitaka.
 
Usitafute huruma hapa! Jadili hoja. Nimesema kwa rasimu hii, kama tutapata Katiba mpya kwa mapendekezo yaliyomo, CCM itakuwa inakabiliwa na kifo. Kama una maoni tofauti, yaweke hapa. kashfa na vijembe si mambo ya waungwana.
Mkuu mi nitafute huruma ya nini. Bahati nzuri si peke yangu niliyeona hicho ninachokwambia. Soma posti zote halafu uone watu wangapi wameona kitu hicho hicho.

Wewe ni mwandishi wa habari. Uandishi wako unatakiwa ku reflect taaluma yako. Tunashindwa kukutofatutisha na wale 65% wa 2012.
 
Manyerere kumbuka katiba hii imeteka hoja nyingi za chadema. kui- neutralize hoja ya mpinzani kisiasa ni ushindi pia.

Nchi za wenzetu Ulaya na marekani wanazitumia sana hoja za wapinzani ili wakati wa kampeni za uchaguzi wapinzani wawe na hoja chache dhidi ya chama tawala.
 
Mabadiliko makubwa yanayofanyika sasa yanaweza pia kuikoa CCM. CCM itakuwa na fursa ya kujipanga upya badala ya kila siku kufanya siasa za kushindana na upepo wa mageuzi.
Kujipanga kwa CCM?
Mazoea yatawazuia kujipanga.
Na bahati mbaya watakaoisambaratisha CCM ni wao wenyewe.
A good number of brains ndani ya CCM watakaoweka maslahi ya taifa mbele hawatavumilia kupeana feva kwa kutumiia bendera ya chama.
 
Naunga mkono hoja ndugu jacton manyerere ccm ndio kwishney hyo
 
Last edited by a moderator:
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.

Sijui wengine mna mtazamo gani.

Ukipata iyo Rasimu itupie JF, ili tujadili kitu tunachokijua kwa undani.
 
Manyerere Jackton umeanzisha uzi mzuri tu lakini ukitaka uzi wako usiharibiwe makusudi lazima ujikite kwenye hoja na kutojibizina na watu wenye malengo yao.

Mtu akitaka kuvuruga ujumbe wako lazima akushambulie binafsi kukutoa ktk mjadala! Mwanzo tulipata shida sana lakini sasa hivi tumeshajua namna ya kumkoma nyani hata waingilie vipi!
 
Last edited by a moderator:
Hakika nawaambia "hakuna kipengele HATA KIMOJA kinachohatarisha usalama wa ccm kitakacho survive kufikia robo ya mchakato" nimenukuu kutoka kwenye akili yangu mwenyewe,na ninaunga mkono 100%.nimeshaamua kuwa ntacheka mwiiisho kabisa wa story hii ya katiba,ili wengine watakapolia sauti ya kicheko isikike vizuri. MANYEREre .
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo mzuri!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wale wapiga domo wote wa CCM leo wamenywea na hawaamini hii rasimu ya katiba iliyosomwa, tatizo langu isijekuwa kama kesi ya mgombea binafsi ambapo CCM ndio wanakuwa waamuzi wa mwisho, hii rasimu isipochakachuliwa CCM kwisha habari yao.
 
Naona kwenye rasimu hakuna cheo cha Waziri Mkuu, nadhani ni kutokana na kuwapo Serikali tatu.
 
Usitafute huruma hapa! Jadili hoja. Nimesema kwa rasimu hii, kama tutapata Katiba mpya kwa mapendekezo yaliyomo, CCM itakuwa inakabiliwa na kifo. Kama una maoni tofauti, yaweke hapa. kashfa na vijembe si mambo ya waungwana.

Wewe umeshaisoma hiyo rasimu na kufanya analysis ya kila kipengele?

Kama umeisoma yote basi tugawie nakala yake ili na sisi tuisome na kuifanyia a comprehensive analysis.
 
I can smell a rat!

Mh. Lowassa kupiga chapuo kwenye harambee ana maana yake na alifahamu kama independent candidate inakuja.

Kila kile ambacho independent candidate wanatakiwa kuwa nacho, Mzee wa Monduli anacho.

Pesa ya kampeni ipo, Wakuu wa wilaya na mikoa anao. Wenyekiti wa CCM wa mikoa na wilaya anao. campaign organisation ndiyo hiyo inayoratibu kwa sasa public relations ili DOA la dudu la Richmond litakaswe na waumini makanisani (He can't be, he's closer to God and he fear God), bila kutokusahau media nchini. Hapa patamu!!
 
Haya majibu ni kwa malebarali tu!

Najua wewe unashabikia hiki kitu: Ngoja tukusaidie uelewe vizuri.
LIBERAL vs CONSERVATIVE
[h=2]Same-sex Marriage[/h]
Liberal
Marriage is the union of people who love each other. It should be legal for gay, lesbian, bisexual and transgender individuals, to ensure equal rights for all. Support same-sex marriage. Opposed to the creation of a constitutional amendment establishing marriage as the union of one man and one woman. All individuals, regardless of their sexual orientation, have the right to marry. Prohibiting same-sex citizens from marrying denies them their civil rights. [Opinions vary on whether this issue is equal to civil rights for African Americans.]
Conservative
Marriage is the union of one man and one woman. Oppose same-sex marriage.
Support Defense of Marriage Act (DOMA), passed in 1996, which affirms the right of states not to recognize same-sex marriages licensed in other states.
Requiring citizens to sanction same-sex relationships violates moral and religious beliefs of millions of Christians, Jews, Muslims and others, who believe marriage is the union of one man and one woman.
 
Wewe umeshaisoma hiyo rasimu na kufanya analysis ya kila kipengele?

Kama umeisoma yote basi tugawie nakala yake ili na sisi tuisome na kuifanyia a comprehensive analysis.

Mkuu, hapa nilipo tayari ninayo maana nilikuwa Karimjee. Ina kurasa 133 za A4. Kimsingi ina vionjo vitamu sana. Nikipata soft copy naiweka hapa mara moja.
 
Back
Top Bottom