Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,716
[emoji23] [emoji23] [emoji87]Naomba namba ya JPM nijitoe mhanga nimfowadie haka ka walaka kazito sana, au nipe email take maana mimi sina cha kupoteza iwe milioni saba, kifungo au vyote viwili.