Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Hayo ni maoni yako ila kundi linalompenda nikubwa sana kuliko uzaniavyo, usije ukawa unashinda hapa jf na ikawa ndio tathimin yako kuwa Bw Pombe hapendwi.Kwa sisi wafanyakazi tunampenda sana mfano tu mdogo wakubwa wengi wa Idara zama zilee walikuwa ni kama miungu watu ila sasa wamekuwa wa kaida sana tuu.na wamekuwa hata ushauri wakiomba kwa wafanyakazi wa chini, Kikubwa usijidanganye wala kudanganywa na story za vijiweni.
Piga kazi mkuu kila kitu utakiona sawa tu.
Kwa hiyo Watanzania wote 45m ni wafanyakazi na wana wakuu wa idara? Naona hata yeye mwenyewe JPM anafikiri kuwa kila mtu ni mfanyakazi na anapiga dili tu. Thinking while living in a cubicle!
