Haha, ndo maana wazungu wanatudharau sana.
Tunapenda ulimbukeni kupitiliza....haha
Hivi umeshawahi muona waziri mkuu wa uingereza anatoka uingereza kwenda Japan au china kupiga picha na wasanii, wanamichezo au kujipitisha kwa staili hii..
Haha, nyuma ya pazia wazungu watakuwa wanacheka sana viongozi wetu