Kwa raha zake.

Kwa raha zake.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
1.jpg
 
Hahaa...hivi kuna paka asie mvivu?paka wa dukani kazidi uvivu yani mara kalala juu ya pishori ya mchele, mara mahindi, mara yuko juu ya dro ya pesa...yaani tafran

Hamna paka wanajipenda sana aisee haeshi kujinyoosha ye kulala tu ka sleeping beauty na alivyo na madaha sasa:sly:
 
Hamna paka wanajipenda sana aisee haeshi kujinyoosha ye kulala tu ka sleeping beauty na alivyo na madaha sasa:sly:

Umenkumbusha nyanya yetu mmoja akitaka kutaja mtu mvivu lazima atoe mfano wa paka wa dukani...hahahaha!ila paka nawapendea usafi tu
 
Umenkumbusha nyanya yetu mmoja akitaka kutaja mtu mvivu lazima atoe mfano wa paka wa dukani...hahahaha!ila paka nawapendea usafi tu
Mbona wananyeaga unga..au kwa sababu ni mweupe nao wanapenda usafi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom