Kwa Pombe Mkapa Anatisha

QUOTE=Mokoyo;bado twataka upanuzi wa barabara

True that! Barabara kuu za TZ ni nyembamba sana. Zinahitaji upanuzi.
 
Pombe ni bonge la waziri.

Mandela Road panachimbika.

Inapigwa lami kama ile ya Nyerere Road wanakopita mafisadi na misafara.

Sambamba na hilo, nguzo za taa mpya za barabarani (kama zile za Sam Nujoma zinasimikwa).

Kubwa zaidi junction ya Tabata na Mandela Road inapigwa taa za kuongozea magari.

Pombe anatisha.

Hii si credit kwa CCM. (CCM majungu tu. Bila Mkapa Pombe na Dr. Mwakyembe wasingepewa wizara moja. Au Mwakyembe asingekuwa NW.)

Ni credit kwa Pombe mwenyewe, na credit kwa Mzee wa 'Kokoto'. Aliyemteua Pombe kuwa waziri wa ujenzi.

Mkwere alikuwa na baraza lake la kupongezana, mzee wa Kokoto akalipangua.

Hata wale wavurundaji km kina Omari Mapuri usiongewajua km sio huyo Mkapa wako.
 
Pombe ni Powertiller,
Mwakyembe ni Turbocharger
wacha wachape kazi watu hawalali waziri wa mambo ya nje akitaliii duniani.

Kwa maoni yangu hapo Tabata palifaa ile barabara iunganishwe(Tokea kona ya Aroma) na ile ya Tabata dampo ju kwa juu ili itokee kigogo kuunganisha kawawa road.
 
Mandela road inatakiwa iwe triple (3) au quad (4) lane. Nilidhani wataipanua! tena wameweka mifereji ya kufa mtu!

C'MON...hatuna visionary people in Tanroads or What? Hii ndo Port Access kuingiza mizigo na kupeleka land locked countries.

Hii ingetakiwa iwe a true Expressway na intersection zake zote ziwe na flyovers. Sasa leo bado tuna cheza na double lane? Kaz kwel kwel
 
:car::car::car::car:Tazara:car::car::car::car: buguruni :car::car::car::car:Tabata:car::car::car:Ubungo:car::car::car:Mwenge

Hapo vipi japo pale Tabata paweke Daraja ju kwa juu. kuunga nisha vilima viwili maana pale barabara iko chini sana pia.
 
Suluhisho la kudumu ni kuhamishia ofisi za serikali Dodoma.
kafanye home work yako vizuri! Dodoma haina uwezo wa ku accomodate magari ya wizara zote. Japo wizara kumi tu kati ya zilizopo zikihamia dodoma, mji ule hauna uwezo wa kuaccomodate. Utakuwa umewahamishia matatizo ya Dsm kuyapeleka Dodoma. Lakini pia mji ule haujaandaliwa kuwa Makao makuu, miundo mbinu kwa ujumla sio mizuri

Mpango mbovu wa jiji................ Wewe angalia asubuhi population yote ya Dar inaelekea Posta na Kariakoo. Jioni wote wanatoka Posta na Kariakoo. Sasa kwa namna iyo jams become inevitable. Pia ofisi za serikali zina magari mengi mno yanayokua chanzo cha jams. Suluhisho la kudumu ni kuanzisha ujenzi wa miji mipya yenye sehemu za biashara na ofisi nje ya Posta na Kariakoo. Pia ipigwe marufuku kujenga tena Posta na Kariakoo. Asante.
Hapa mkuu nimekupongeza!
 
TUNATAKA FLY OVERS Mkwere si ameahidi tunazisubiri kwa hamu kubwaaa

Mbona zipo jamani, hamjaziona? ina maana hata ukifumba macho huzioni? ndo hizo hizo hakuna nyingine, ngoja tumalizie sasa mradi wa mabasi yaendayo kasi na treni itokayo mwanza dar kwa masaa! mkwere bana, yaani anadanganya kama anadanganya wajukuu zake hivi!!
 
yaani nilivyosoma heading nilifikiri pombe kilevi kinamnywa Mkapa :teeth:
 
jamaa alipanda jukwaani siku ya kufunga kampeni za ccm akiwa amebipu valuu.

akasema ''mimi nasema hawa wote kokoto tu" (akimaanisha Lipumba siyo Mlima Kilimanjaro, wala Slaa siyo kichuguu).

Lakini ukweli utabaki palepale: CCM walichakachua ushindi wa Dr. Slaa
Una uhakika? Slaa kama anajeuri angefanya kama Maalim Seif
 
Mkapa inabidi apongezwe kwa kuliibua ili jembe letu Magufuli.
Ivi JK kamwibua nani so far?
 
Mwakyembe konyagi,sitta gongo,mwandosya valuu,tibaijuka vodka,lukuvi ulanzi,ngeleja na malima maji uhai,kawambwa mirinda, mama rwekatare ni juice ya matunda,
 
Best Leaders so far
1. DR Wilbroad Slaa
2. John Pombe Magufuli
3. Dr Mwakyembe
4. Selelii
5. .................
 
Back
Top Bottom