Nimeituma tena nilikosea kuipostpicha iko wapi?
Nakushukuru mkuuPole sana.
Chamsingi wahi hospitali
Bawasiri inaua kwa kasi ya
Asante mkuuKwanza pole sana ndugu, hiyo kitu ilimtesa sana jamaa angu alifanyiwa operations kadhaa lkn baada ya muda flani inarudi tena ila akaelekezwa kwa dokta mmoja Yuko sengerema mwanza anatibu kienyeji na ana clinic kabsa ya kutibu wagonjwa wa hiyo kitu tu. Na yeye hafanyi operations Bali anakupa dawa ambayo itayanya yenyewe yatoke kwa nje na kudondoka. Naomba nitoe angalizo, sina maslahi na huyo dokta wala undugu bali nimeshare kama sehemu ya msaada na mawazo. Asante.
Kama huna cha kuchangia usikoment, bawasiri haiui wala haijawahi kuua mtu.Pole sana.
Chamsingi wahi hospitali
Bawasiri inaua kwa kasi ya 5G.
Inasababishwa na niniPole sana.
Chamsingi wahi hospitali
Bawasiri inaua kwa kasi ya 5G.
Acha kula vyakula vya kisasa na vinavyopelekea kufunga choo/kunya kwa tabu hapo utakuwa umejikinga.Inasababishwa na nini
nawezaje kujikinga nisiipate
Google au nenda hospitali watakupa mwongozo.Inasababishwa na nini
nawezaje kujikinga nisiipate
Wewe ndio mleta mada au mke wa mleta mada?Kama huna cha kuchangia usikoment, bawasiri haiui wala haijawahi kuua mtu.
Ukiweka hapa utasaidia wengi zaidiGoogle au nenda hospitali watakupa mwongozo.
🙏Acha kula vyakula vya kisasa na vinavyopelekea kufunga choo/kunya kwa tabu hapo utakuwa umejikinga.