Urais ulivyo Mtamu hivyo, asuse. Think twice my Bro. Hata huko USA Trump bado anang'ang"ana nao. Jikumbushe tu jinsi alivyomshughulikia Ndugai alipomjaribu.Nimemsikiliza Lissu tangu juzi akiwa kariakoo na pale Kibamba leo kwa hakika ujumbe anaotema ni mzito sana sidhani kama Samia ana kifua cha kuuhimili.
Kama Magufuli aliyejiita chuma, Jiwe, Kamongo hakuweza furukuta mbele ya makombora ya Lissu nimewaza sana kuhusu Samia.
Japo taarifa za ndani zinadai mama ameshalegea lakini bado inanipa wasiwasi mkubwa kama Samia bado ana hamu na mchakato wa katiba mpya!
Lissu anarusha makombora nyie sidhani kama Samia anapata usingizi, nawaza tu anaweza kususa hata urais wenyewe siku za usoni.
Tunakoelekea ni kubaya sana na hakuna matumaini ya kuzaliwa katiba mpya kama CCM na mawakala wao wanauza nchi kishenzi namna hii.
Angekua mropokaji asiyesikilizwa Magufuli asingemmiminia risasi.Ni mjinga na mwendawazimi tu atamsikiliza Mropokaji na mkurupukaji na mtu wa ndimi mbili Kama lissu,Hakuna wa kumuamini Wala kumuunga mkono,ndio maana hakuna anayefuata lolote litokalo katika mdomo wake usio na chujio Wala muunganiko na ubongo wake
Kwa hoja gani alizonazo lisu Hadi apewe muda wa kusikilizwa?Angekua mropokaji asiyesikilizwa Magufuli asingemmiminia risasi.
Nasikia mama yenu anajuta kumleta na huzirai huko ofisini mara kwa mara akipokea kombora za Lissu.
Wewe mnyakwa wa kijiweni ndo unawaza hivyo wenye mamlaka huko hakukaliki huko.
Hebu toa ufafanuzi ni sehemu gani Lisu amekuwa au amewahi kuwa na ndimi mbili??Ni mjinga na mwendawazimi tu atamsikiliza Mropokaji na mkurupukaji na mtu wa ndimi mbili Kama lissu,Hakuna wa kumuamini Wala kumuunga mkono,ndio maana hakuna anayefuata lolote litokalo katika mdomo wake usio na chujio Wala muunganiko na ubongo wake
Wewe huwa unampenda sana Tundu Lissu hasa kwenye hoja zake!Ni mjinga na mwendawazimi tu atamsikiliza Mropokaji na mkurupukaji na mtu wa ndimi mbili Kama lissu,Hakuna wa kumuamini Wala kumuunga mkono,ndio maana hakuna anayefuata lolote litokalo katika mdomo wake usio na chujio Wala muunganiko na ubongo wake
VIVA LISSU, VIVA TANGANYIKA. Tulikukosa sana LissuNimemsikiliza Lissu tangu juzi akiwa kariakoo na pale Kibamba leo kwa hakika ujumbe anaotema ni mzito sana sidhani kama Samia ana kifua cha kuuhimili.
Kama Magufuli aliyejiita chuma, Jiwe, Kamongo hakuweza furukuta mbele ya makombora ya Lissu nimewaza sana kuhusu Samia.
Japo taarifa za ndani zinadai mama ameshalegea lakini bado inanipa wasiwasi mkubwa kama Samia bado ana hamu na mchakato wa katiba mpya!
Lissu anarusha makombora nyie sidhani kama Samia anapata usingizi, nawaza tu anaweza kususa hata urais wenyewe siku za usoni.
Tunakoelekea ni kubaya sana na hakuna matumaini ya kuzaliwa katiba mpya kama CCM na mawakala wao wanauza nchi namna hii.
Pia soma: Tundu Lissu: Rais samia amefanya kitu cha kijinga kuliko marais wote wa Nchi hii
Mbona Kama umemsikiliza Kiongozi.Ni mjinga na mwendawazimi tu atamsikiliza Mropokaji na mkurupukaji na mtu wa ndimi mbili Kama lissu,Hakuna wa kumuamini Wala kumuunga mkono,ndio maana hakuna anayefuata lolote litokalo katika mdomo wake usio na chujio Wala muunganiko na ubongo wake
watu washamuona mental case huyo.Nimemsikiliza Lissu tangu juzi akiwa kariakoo na pale Kibamba leo kwa hakika ujumbe anaotema ni mzito sana sidhani kama Samia ana kifua cha kuuhimili.
Kama Magufuli aliyejiita chuma, Jiwe, Kamongo hakuweza furukuta mbele ya makombora ya Lissu nimewaza sana kuhusu Samia.
Japo taarifa za ndani zinadai mama ameshalegea lakini bado inanipa wasiwasi mkubwa kama Samia bado ana hamu na mchakato wa katiba mpya!
Lissu anarusha makombora nyie sidhani kama Samia anapata usingizi, nawaza tu anaweza kususa hata urais wenyewe siku za usoni.
Tunakoelekea ni kubaya sana na hakuna matumaini ya kuzaliwa katiba mpya kama CCM na mawakala wao wanauza nchi namna hii.
Pia soma: Tundu Lissu: Rais samia amefanya kitu cha kijinga kuliko marais wote wa Nchi hii
ajuza upo kwa maslahi ya dini na sio vinginevyo. shenzy sana wewe bibiwatu washamuona mental case huyo.
Ccm establishment hawapo tayari kwa katiba mpya, huko ni kuweka rehani madaraka waliojimilikisha.Japo taarifa za ndani zinadai mama ameshalegea lakini bado inanipa wasiwasi mkubwa kama Samia bado ana hamu na mchakato wa katiba mpya!