Women ask so many questions
because they have an extra why chromosome
wengi tu ninaokutana nao, huwa wananiuliza maswali mengi sana, kama kipato, mali zote ninazomiliki, kwenye simu: uko wapi sasa hivi, unafanya nini? Na ukimdanganya tu machale yatamcheza
Mkuu Boflo Tatizo lao hawana siri tu siri ya Mwanamke ni ya Masaa 24 ikipita hapo hana tena Siri Mwanamke ukimuuzi tu anakutolea Siri yako ya ndani.Ahaa na ndio maana wanafaulu vizuri kwenye mafunzo ya FBI
Mkuu Nyani Ngabu Mkuu Boflo huwa ananiiga mimi kaka yake huwa sipendi kuuliza maswali maana hakuna atakaye nijibu hahahahahah hongera mkuu boflo.Wewe Boflo huwaga huuulizi maswali?
ni pun tu, Y as why. got it?
Nauliza lakini sio mfululizo kama hawa, hujamaliza kujibu hili ushaulizwa jingine....
Halafu kwanza ulipotea wapi siku zote?? Ban au??
ishi m nilijua ni wanawake tu ndo wana maswali mengi!Nauliza lakini sio mfululizo kama hawa, hujamaliza kujibu hili ushaulizwa jingine....
Halafu kwanza ulipotea wapi siku zote?? Ban au??