Ha ha ha haaaaaa! Boflo huna adabu! Nitake radhi! Umenifananisha na Preta maana yeye ndio alijiangusha makusudi hapa JKT ili asipige kwata ndio akabebwa hivyo.
Magonjwa mengine yanahitaji tiba mbadala kama hizi. Huyo mtaalamu wa afya anafaa sana kwa hizi shule za Single Sex ambazo wanafunzi huwa wanaanguka hovyo na wengine kutembea kama Sharobaro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.