Kwa nini Yesu haku kataza kuoa wake wengi?

Kwa nini Yesu haku kataza kuoa wake wengi?

Ukitaka kurejea Biologia ni vizuri uwe na elimu ya kutosha, sio kuandika tu kama hadithi....
Sijui kama ulisoma Biologia walau ya kidato cha nne, kwani ungeweza kujua uumbaji na possibility ya kupata mtoto wa Kike ni kubwa kuliko kupata mtoto wa Kiume...

Nimefikiria yote haya.
Ila pia nimefikiria hoja kuwa Pamoja na hayo bado wanawake ni weng kwa sababu wanaume wana Risk sana na pia inaongeza hiyo different.

Kusema wanawake wakifikisha Miaka 60 hawana haja ya mwanamme, sijui kama unamaanisha nini?
Au unamaanisha wanawake wakae bila mwanaume kwa miaka takribani 40 (kutoka miaka 20 hadi 60);
akili za wapi hizi? kwa miaka hiyo Arobaini unajua wanafanya nini?
Hapa sijakuelewa.
Sijui umewaza kwa akili gani?.
Mm nimesema mwanamke mjans 60+ Mwili wake unakuwa hautaman kuolewa . (Menopause na hormones changes) wakat mwanaume miaka 60+ anakuwa bado mwili unaweza kuhimili mwanamke.
Umeshasema kuna wanaume wanakufa mapema, bila kusahau wengine wanazaliwa Impotence nk inamaana waoaji wanazidi kupungua

Hoja yangu ilijibu kuwa different ya 20 mill kwa wanawake . Je nani atawaoa?.
Kumbuka ni kuoa na sio Kuzalisha.
 
Ingeandikwa kila tamko alilolisema Yesu, Biblia haingetosha kuyabeba yote.
Ukristo huwa tunaongozwa na Roho Mtakatifu aliyetumwa kwetu sisi, tofauti na nyie huko mliolekezwa mpaka namna ya kuosha mqundu baada ya kunya.
 
Muislamu haswaa akiwa na uwezo ata kwa siku moja tu anakamilisha ndoa 4
Mkuu uwezo ni Sawa lakini kadiri unakuwa bize na biashara nyingi na bize kutafuta jua hutakuwa na mawazo ya kuwazia wake wanne.Na ninavyojua mwanamke ukitaka kumletea mwenzie ataweza kuhoji ni nini kashindwa kukufanyia hata umletee mwenzie.. Kingine moyo hupenda mmoja Tu..
 
Ingeandikwa kila tamko alilolisema Yesu, Biblia haingetosha kuyabeba yote.
Ukristo huwa tunaongozwa na Roho Mtakatifu aliyetumwa kwetu sisi, tofauti na nyie huko mliolekezwa mpaka namna ya kuosha mqundu baada ya kunya.
Roho mtakatifu 😄😄😄😄😄
 
Mkuu uwezo ni Sawa lakini kadiri unakuwa bize na biashara nyingi na bize kutafuta jua hutakuwa na mawazo ya kuwazia wake wanne.Na ninavyojua mwanamke ukitaka kumletea mwenzie ataweza kuhoji ni nini kashindwa kukufanyia hata umletee mwenzie.. Kingine moyo hupenda mmoja Tu..
Ivo umesema ww moyo haujaumbwa umpende mmoja ndo mna mnavamia makahaba si bora muoe tu
 
Mkuu nimeoa na nilishaacha uhuni.Mimi sio mtumiaji wà condom wala kufanya mapenzi ya mbio mbio.
Kwani nani alokua hajaoa? Huwezi kupingana na nature kwaio mke akiwa period na ww unakua period
Mke akijifungua na ww umejifungua kamwe huwezi kuikimbia nature
 
Kwani nani alokua hajaoa? Huwezi kupingana na nature kwaio mke akiwa period na ww unakua period
Mke akijifungua na ww umejifungua kamwe huwezi kuikimbia nature
Mimi Kwa wiki nafanya sex mara tano,,, ejaculation tatu Kwa kila wakati mmoja ninaofanya...Kwa hio mahitaji kupumzika Sana na Kula.Kwa hio akiwa period huwa napumzika..Akijifungua huwa nakaa mwezi mzima WA Kula vizuri na mapumziko.Kwa hio labda kutokee maradhi makubwa ndio yanaweza kunifikirisha kuwa na mwanamke mwengine...

NB.Wanawake wanahitaji sex Kwa kiwango kikubwa na mwanaume baada ya sex anahitaji recovery na usipoipata hutoweza kufanya kazi vizuri...
 
Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo;

vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote.

Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa
Sasa najiuliza;
1. Kama kuoa wake wengi haimpendezi Mungu, kwa nini Yesu hakulikemea

2. Dunia tangu zamani wanawake ni wengi kuliko wanaume; Papa Paul alipopitisha hii sheria alikusudia hao wanawake wengine waolewe na nani?

3. Dunia inapita kipindi kigumu ambapo single mothers imekuwa kama fasheni, watoto wa mitaani wamejaa mijini, na hata magonjwa ya ngono yameongezeka nk ambapo ukifikiria vizuri unaweza kuona kuwa uwepo wa wanawake wengi wasio kuwa na wanaume inaweza kuchangia.
Mfano: Ukienda mji kama Mombasa ambapo Wakristo sio wengi, watoto wamitaani na single mother ni wa kutafuta ILA ukienda miji kama Kisumu, Nairobi nk ambapo wakristo ndio wengi, watoto wa mitaani na single mother ni kwa mamia

4. Nafikiri tunahitaji Papa mwingine aangalie vizuri hii sheria kwani inawezekana Papa Paul hakuwa amefikiria vizuri kwa kuangalia miaka mingi ijayo.
Shida nini dini yenu imewashinda saivi mko kwetu qcheni kuchafua dini yetu please.
 
Mimi Kwa wiki nafanya sex mara tano,,, ejaculation tatu Kwa kila wakati mmoja ninaofanya...Kwa hio mahitaji kupumzika Sana na Kula.Kwa hio akiwa period huwa napumzika..Akijifungua huwa nakaa mwezi mzima WA Kula vizuri na mapumziko.Kwa hio labda kutokee maradhi makubwa ndio yanaweza kunifikirisha kuwa na mwanamke mwengine...

NB.Wanawake wanahitaji sex Kwa kiwango kikubwa na mwanaume baada ya sex anahitaji recovery na usipoipata hutoweza kufanya kazi vizuri...
Sijakwambia ujisifie rudi kwenye mada
 
Kiuhalisia w.me ndo wanapenda sex kuliko w.ke acha kudanganya
 
Back
Top Bottom