Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,408
- 8,904
Nimekuwa nikijiuliza sana ni kwanini Watz wanakiamini sana hiki chombo cha Habari cha Nchi ya Uingereza BBC?
Yaani utakuta mtu anabishania kitu ukimuuliza atakwamba BBC wamesema, hata humu JF ukitaka hoja yako iaminiwe na kukubalika basi sema imetoka BBC unganisha na website ya BBC hapo utaaminika!
Lakini kama habari imetoka ITV, TBC au hata Star TV inayohusu nchi yetu hata tusema kuhusu tu Mitaa ya Manzese haitaaminika na utaambiwa ulete ushahidi ukileta wa BBC basi umeaminika, sasa ni kwa nini?
Wakati Dunia nzima inatambua ya kwamba BBC ni chombo cha Propaganda cha Serikali ya Uingereza hata Waingereza wenyewe ambao ndio walipa kodi hawakiamini sasa ni kwa nini sisi tunafikiri kila wanachosema kuhusu sisi ni sawa? kuna sababu yoyoyte ya Msingi?