Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,159
- 1,163
Ni gari ya ndoto ya vijana wengi
Huyu GLS 550, she's real animal......
Ni gari ya ndoto ya vijana wengi
Huyu GLS 550, she's real animal......
Daah! Ila G Wagon V12 Bi turbo AMG inatisha sana! Sidhani kama Range Rover inakuta ule mziki?!
Uko sawa. Lakini BMW na Volkswagen hawakuanzishwa hizo brands. Walifanya kuzinunua, tena nafikiri miaka si mingi. Kwani originally RR na Bentley ni brands za muingereza; hata waanzilishi ni waingereza.Lexus ni luxury brand ya Toyota... Ni kama Rolls-Royce kwa BMW au Bentley kwa Volkswagen.
Hiyo ni next level sana! My all time favorite
What abt this animal......??
What abt this animal......??
Hivi hyo 109 nayo ni SUV...??Mandolin
Uko sawa. Lakini BMW na Volkswagen hawakuanzishwa hizo brands. Walifanya kuzinunua, tena nafikiri miaka si mingi. Kwani originally RR na Bentley ni brands za muingereza; hata waanzilishi ni waingereza.
Toyota alianzisha Lexus, hakuinunua sehemu.
Hamna aliyemkopi mwenzake.
Nani kamkopi mwenzake kati ya benz GLS 550 na BMW........??
Naona ulikuwa na haraka kidogo.Mimi si mashuhuri ila namiliki Range Sport na MBW X6 kwa ajili ya mke wangu.
Hakuna Range Rover inayoikuta G-Wagon AMG V12 Biturbo kwenye Performance...
Range Rover wameishia V8 Supercharged.
That's why G-wagon ina gharama kubwa kuliko RR.
Hakika Mkuu... Uko sawa kabisa.Uko sawa. Lakini BMW na Volkswagen hawakuanzishwa hizo brands. Walifanya kuzinunua, tena nafikiri miaka si mingi. Kwani originally RR na Bentley ni brands za muingereza; hata waanzilishi ni waingereza.
Toyota alianzisha Lexus, hakuinunua sehemu.
Asante Mkuu kwa kunisahihisha...Very few vehicles can venture off-road, tackle the Nürburgring, and haul five passengers in luxurious comfort, but the Range Rover Sport Supercharged is one of them. A 510-hp supercharged 5.0-liter V-8, eight-speed automatic, and adjustable four-wheel-drive system help it easily hustle down any road or trail. The SVR model ups horsepower to 550 and features a stiffer suspension for even better handling, while a leather-lined and feature-packed interior help it earn its Range Rover badging. Jump to Instrumented Test – Land Rover Range Rover Sport SVR with Performance Tires
14/19 mpg
EPA
4.6 sec
0-60
550 hp
HP
144 mph
Top Speed
Breathtakingly expensive, hugely powerful, and anachronistic in looks, the G63 and G65 are not for the introverted. With roots going back to 1979, it retains its basic fashionista-meets-Sandinista look. In the G63, a twin-turbo 5.5-liter V-8 makes 563 hp and 561 lb-ft and mates to a seven-speed automatic; all-wheel drive is standard. The G65 turns up the crazy even more with a twin-turbo 6.0-liter V-12 that makes 621 hp and 738 lb-ft and moves the three-ton SUV to 60 mph in just 5.1 seconds.
Moja ya perfomance kuu kwenye powerful cars ni acceleration from 0-60mph. RR yenye 5.0 V8 inatoka 0-60mph in 4.6seconds......Gwagon top 6.0 v-12 biturbo inatoka 0-60mph in 5.1seconds.
Fact hapa ni kuwa RR with Smaller engine performs better than G-wagon.
kwikwikwiiiii......... we lazma utakuwa unamiliki nokia ya tochiYote kwa yote.hunitoi kwenye Rav4 old model manual gear
Mkuu...
Mkuu we unaona hazifanani kweli......??
shukrani mkuu......Mkuu...
Mercedes-Benz GLS and GLC zimekua developed from Mercedes-Benz GL.
Hizi Benz zipo kwenye market... Hiyo picha ni concept ya BMW X7 ambayo bado haipo sokoni na hiyo picha ni tofauti kabisa na BMX X7 ambayo ilioneshwa na BMW wenyewe.
So ni imagination tu.
Na hata ingekua hivyo basi BMW ndio angekua kacopy kwa Mercedes-Benz.
Kweli Toyota ni Reliable...Wenye kujua magari hasa hizo kina range rover ni kwa ajili ya mabishoo tu na sio madereva..... Dereva anachukua kitu cha mjapan peke ake asikwambie mtu , kitu Toyota Kilimo Kwanza, a true off road car and RELIABLE, something that is missing with these Germans and UKs